covid 19
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 6,967
- 17,452
Kipato changu na cha watanzania wengi ni 10000 kwa siku sasa hapo nitanunua mchele kilo ngapi za kutosha mwaka mzima!Nitashangaa kusikia MTU analalamika kuhusu njaa wakati mchele umeshuka Sana bei.
Nunua chakula cha kutosha uweke ndani itasaidia kuishi vizuri wewe na familia yako.
Tuwe Kama wazungu sio kila siku MTU unawaza chakula na kodi tujitahidi kuishi kwa mipango na mikakati ya Muda mrefu.