Huku Tabora kilo moja ya mchele imefika 800 (mia nane)

Tabora ni kweli, kuna mzee alienda kuvuna mpunga alinieleza hizo habari toka miezi 2 nyuma.
 
Piga picha ya risiti uliyonunulia mchele kwa bei ya tsh mia nane au shut up for realy mimi nimechoka kuchukua muda wangu kusoma upuuzi...watu kama hawa wawe wanaleta ushahidi.. usikute ni bei za vyakula vilivyoisha muda wake mifugo ndio inalishwa
 
Tatizo HELA sasa
 
UMEANDIKA KITU CHA MAANA kabisa
tulipaswa tukulipe kwa kutupatia hii taarifa. ila wapo watakaokukejeli
huku tarime tunanunua kwa 1,700
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…