Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Uvivu wa kutafuta maarifa ni shida yetu, hizi kelele zote za hasira ni ukosefu wa upeo unaotokana na kutopenda kuelimika, hili ni tatizo lina umri wa miaka 62 sawa na uhuru wetu.Kuongoza Tanzania ni rahisi Sana, leo tunapiga kelele kesho kimya