Huku waliokufa kwa Uzembe Wao wakiwa hata bado hawajazikwa, Kampuni yatangaza tena Safari kwa wanaotaka Kufa kule kule kwa mwaka 2024

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kampuni ya OceanGate Expeditions inayomiliki chombo cha majini cha Titan imetangaza safari zake kwa msimu wa 2024 kwa gharama ya $250,000 [TZS milioni 603] kwenda kuona mabaki ya meli ya Titanic.

Hivi karibuni watu watano walifariki dunia baada ya chombo chao kupotea kikiwa karibu na mabaki ya meli hiyo na kupelekea kupasuka kutokana na mgandamizo mkubwa wa maji.

Chanzo: Phoenix News

Leo nimeamini kuwa Wazungu Kwao Kufa wala siyo Issue wakati kwa Waafrika ni Issue utadhani kuna Mtu Kaandikiwa na Kupangiwa na Mwenyezi Mungu kuwa ataishi Milele.
 
MBONA MABASI YANAPATA AJALI NA BADO WATU WANASAFIRI? ILE NI BAHATI MBAYA AJALI KAMA AJALI NYINGINE
 
Kampuni ya OceanGate Expeditions inayomiliki chombo cha majini cha Titan imetangaza safari zake kwa msimu wa 2024 kwa gharama ya $250,000 [TZS milioni 603] kwenda kuona mabaki ya meli ya Titanic.

Hivi karibuni watu watano walifariki dunia baada ya chombo chao kupotea kikiwa karibu na mabaki ya meli hiyo na kupelekea kupasuka kutokana na mgandamizo mkubwa wa maji.

Chanzo: Phoenix News

Leo nimeamini kuwa Wazungu Kwao Kufa wala siyo Issue wakati kwa Waafrika ni Issue utadhani kuna Mtu Kaandikiwa na Kupangiwa na Mwenyezi Mungu kuwa ataishi Milele.
Wazungu wanaendekeza anasa hivi kuna ulazima gani wa kwenda kushangaa hiyo meli huko chini
 
Hata Mimi pia nimejiuliza maswali mengi sana likiwemo na hata hili lako ila sijapata majibu.
 
Back
Top Bottom