GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Wazungu wanaendekeza anasa hivi kuna ulazima gani wa kwenda kushangaa hiyo meli huko chiniKampuni ya OceanGate Expeditions inayomiliki chombo cha majini cha Titan imetangaza safari zake kwa msimu wa 2024 kwa gharama ya $250,000 [TZS milioni 603] kwenda kuona mabaki ya meli ya Titanic.
Hivi karibuni watu watano walifariki dunia baada ya chombo chao kupotea kikiwa karibu na mabaki ya meli hiyo na kupelekea kupasuka kutokana na mgandamizo mkubwa wa maji.
Chanzo: Phoenix News
Leo nimeamini kuwa Wazungu Kwao Kufa wala siyo Issue wakati kwa Waafrika ni Issue utadhani kuna Mtu Kaandikiwa na Kupangiwa na Mwenyezi Mungu kuwa ataishi Milele.
Kama majinja pale mafingaMBONA MABASI YANAPATA AJALI NA BADO WATU WANASAFIRI? ILE NI BAHATI MBAYA AJALI KAMA AJALI NYINGINE
Hata Mimi pia nimejiuliza maswali mengi sana likiwemo na hata hili lako ila sijapata majibu.Wazungu wanaendekeza anasa hivi kuna ulazima gani wa kwenda kushangaa hiyo meli huko chini
Kuna muda waafrika tunaishi kwa raha sana hatupendi kuchokonoa yasiyo na ulazima japo wanatuona washambaHata Mimi pia nimejiuliza maswali mengi sana likiwemo na hata hili lako ila sijapata majibu.