OK sasa angalia mwenyewe hapa kati ya kiswahili na kishona + kibajuni (vibantu) kilivyoendana then linganisha na kiarabuHata kama ukisikia haimanishi tafsiri ndio sawa kama ilivyo kwenye kiswahili.
Narudia tena, Kiswahili ni lugha iliyozaliwa maeneo ya mwambao na imeundwa na misamiati ya kiarabu kwa asilimia kubwa, licha ya kuwepo na misamiati ya Kireno, Kihindi na Kibantu.LOL kwani mwambao ni uarabuni? Mwambao sio kwa wabantu?
Endelea kugoogle.OK sasa angalia mwenyewe hapa kati ya kiswahili na kishona kilivyoendana then linganisha na kiarabu View attachment 1620650
Narudia tena, Kiswahili ni lugha iliyozaliwa maeneo ya mwambao na imeundwa na misamiati ya kiarabu kwa asilimia kubwa, licha ya kuwepo na misamiati ya Kireno, Kihindi na Kibantu.
Hahahaha naona mdogo mdogo na wewe unaanza kukiri kiswahili kina kibantu, hongera zakoEndelea kugoogle.
Kiswahili ni kiarabu.
Tafuta post yangu juu huko. Nilipoanza kuandika ndivyo niliandika na ndio kama nilivyoandika hapa. Kiswahili ni Kiarabu kwa asilimia kubwa, hiyo misamiati ya lugha nyingine kama kireno na kihindi na lugha za kibantu ni michache sana. Huwa sinaga tabia ya kubadilisha kauli. Nakutafutia post yangu niliyoanza kuandika.Hahahaha naona mdogo mdogo na wewe unaanza kukiri kiswahili kina kibantu, hongera zako
Kwahiyo hupendi kuongea na mwarabu! Unaogopa nini Shekhe!?
لا مشاكل.
Hahahaha kitakua kiarabu hiyo siku nitamuelewa muarabu kama ninavyomuelewa Mswahili otherwise acha uendelee kuota ndoto za mchana.Tafuta post yangu juu huko. Nilipoanza kuandika ndivyo niliandika na ndio kama nilivyoandika hapa. Kiswahili ni Kiarabu kwa asilimia kubwa, hiyo misamiati ya lugha nyingine kama kireno na kihindi na lugha za kibantu ni michache sana. Huwa sinaga tabia ya kubadilisha kauli. Nakutafutia post yangu niliyoanza kuandika.
Tafuta post yangu juu huko. Nilipoanza kuandika ndivyo niliandika na ndio kama nilivyoandika hapa. Kiswahili ni Kiarabu kwa asilimia kubwa, hiyo misamiati ya lugha nyingine kama kireno na kihindi na lugha za kibantu ni michache sana. Huwa sinaga tabia ya kubadilisha kauli. Nakutafutia post yangu niliyoanza kuandika.
Nani anaota? Huijui historia ya Zanzibar. Fika Zanzibar ukajionee maeneo ya Kihisitoria, bila kusahau maeneovya kihistoria katika kisiwa cha Pemba ukajionee pamoja na kusoma lugha ya kiswahili. Sio mnakaa na kudanganyana tu!!Hahahaha kitakua kiarabu hiyo siku nitamuelewa muarabu kama ninavyomuelewa Mswahili otherwise acha uendelee kuota ndoto za mchana.
Kile tulichokiongelea hapa sasa naona umekileta mwenyewe, tulishakwambia kuwa Kiswahili ni second Language kwasababu makabila yote yana lugha zao mama. Naona hapa umeleta mwenyewe, au umejisahau?
Hasira zako zote zielekeze hapa sio kwanguNani anaota? Huijui historia ya Zanzibar. Fika Zanzibar ukajionee maeneo ya Kihisitoria, bila kusahau maeneovya kihistoria katika kisiwa cha Pemba ukajionee pamoja na kusoma lugha ya kiswahili. Sio mnakaa na kudanganyana tu!!
Bado hakifanyi kutokua kibantu, yaani sifa zote zipo na zimezidi ndio maana duniani kote kiswahili kinajulikana kama kibantuKile tulichokiongelea hapa sasa naona umekileta mwenyewe, tulishakwambia kuwa Kiswahili ni second Language kwasababu makabila yote yana lugha zao mama. Naona hapa umeleta mwenyewe, au umejisahau?
[emoji116][emoji116]Nilishaliongea hili[emoji115][emoji115]Achana na kuongelea Watanzania kwasababu, Watanganyika wote wana lugha zao za kiasili (mother tongue) na Kiswahili ni second selection. Tofauti na Wazanzibari. Ukubali ukatae ukweli ndio huu.
Naona umelileta kwa mara nyingine?
Hakikifanyi kutokuwa ni kiarabu, waliosambaza Kiswahili ni Waarabu, kupitia maneno ya kiarabu, kwani hakuna sehemu alipopita mwarabu bila kuacha athari, lakini hakuwa na kawaida ya kuchukua misamiati ya lugha nyingine na kuingiza kwenye lugha yake.Bado hakifanyi kutokua kibantu, yaani sifa zote zipo na zimezidi ndio maana duniani kote kiswahili kinajulikana kama kibantu
Hakikifanyi kutokuwa ni kiarabu, waliosambaza Kiswahili ni Waarabu, kupitia maneno ya kiarabu, kwani hakuna sehemu alipopita mwarabu bila kuacha athari, lakini hakuwa na kawaida ya kuchukua misamiati ya lugha nyingine na kuingiza kwenye lugha yake.
Wabantu ni jamii ya watu weusi.
Maneno ya English kwenye kiswahili ni mengi kuliko ya kiarabu[emoji116][emoji116]Nilishaliongea hili[emoji115][emoji115]Naona umelileta kwa mara nyingine?
Nilishakwambia Kiswahili sio Kibantu, kwasababu makabila yote ya kibantu yana lugha zao za kimakabila, na hutumia kiswahili kama second selection. Naona umekuja nalo tena au umejisahau, naona unazidi kuonesha mgawanyiko ambao mwisho wa siku kila kabila linabaki na lugha yake na kiswahili kinaendelea kubakia pale pale kikiwa na misamiati mingi ya Kiarabu. Na hayo maeneo mengi yenye jamii za Kibantu, Waarabu walipita kwa ajili ya kusafirisha watumwa na kuwaleta katika pwani ya Afrika mashariki, waarabu hawakuchukua lugha ya mtu bali wao ndio waliacha maneno yao ya kiarabu.
Tatizo umekazania Wiktionary zako zisizo na uhalisia.Maneno ya English kwenye kiswahili ni mengi kuliko ya kiarabu
Waingereza wakisema kiswahili ni kiingereza wana %30 ya kumake sense kuliko waarabu wenye %7 tu ya maeneo yote ya kiswahili
Naelekea kuchoka sasa, wewe unaongea maneno matupu tu ukiongeza zaidi ni viemojisTatizo umekazania Wiktionary zako zisizo na uhalisia.
Hata motivational speaker wanachokiongea ni tofauti na uhalisia kwa ground!! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
Fanya tathmini katika maneno utakayoongea ndani ya siku moja, asilimia kubwa ni maneno yenye asili ya kiarabu na sio majina ya vitu ambavyo vingi ni vya kutengeneza na vimetengenezwa na Waingereza na badala yake vinakuja vikiwa tayari na majina ambapo sisi huwa tunatohoa tu!! Haiingii akilini tunapoongelea lugha kama lugha we unakuja na vitu vya kutengenezwa. Ambapo mtengenezaji ni Mwingereza.Maneno ya English kwenye kiswahili ni mengi kuliko ya kiarabu
Waingereza wakisema kiswahili ni kiingereza wana %30 ya kumake sense kuliko waarabu wenye %7 tu ya maeneo yote ya kiswahili
Huo sio uthibitisho wa kitafiti bali ni majina ya vitu na vingi sana vilivyotengenezwa na Waingereza! Hiyo sio lugha ndugu bali ni vifaa vilivyogunduliwa/kutengenezwa na Waingereza "Printa" hiyo sio lugha bali ni jina la kifaa, ukija kwenye lugha ya kiswahili lipo neno lake.Naelekea kuchoka sasa, wewe unaongea maneno matupu tu ukiongeza zaidi ni viemojis
Sasa ulionea wapi mtu anajenga hoja pana kama hii bila kuleta uthibitisho wa kitafiti?
Kama huu
English borrowed words
Arabic borrowed words