Huku Zanzibar kuna mambo ya ajabu sana

[emoji1787][emoji1787]
 
Eti "Li-Paulo" 😂😂
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]pole sana
 
Duh nikisikia huko Zenji huwa nawaza kuwa ni sehemu ya kipekee sana.
Lafudhi kama hizo vyakula tofauti vyao, mavazi,
Kama hujui unaweza mtia dole kweli.
Vipi mkuu pisi zipo huko zinatafunika?
Watu wanaingia na pigo gani?
 
Duh nikiskia huko zenji huwa nawaza kuwa ni sehemu ya kipekee sana.
Lafudhi kama hizo vyakula tofauti vyao,mavazi,
Kama hujui unaweza mtia dole kweli.
Vipi mkuu pisi zipo huko zinatafunika?
Watu wanaingia na pigo gani?
Pisi kuipata ni ngumu sana, ni mara mia demu akatafunwe na mwenye wake watatu kuliko kukupa wewe mtu wa bara
 
Duh nikiskia huko zenji huwa nawaza kuwa ni sehemu ya kipekee sana.
Lafudhi kama hizo vyakula tofauti vyao,mavazi,
Kama hujui unaweza mtia dole kweli.
Vipi mkuu pisi zipo huko zinatafunika?
Watu wanaingia na pigo gani?
Kiukweli ni pazuri na pa kipekee sana asikuambie mtu!

Kuhusu pisi sijui mkuu mimi ni KE ila kuhusu lafudhi na lugha yao kwa sisi wabara tulivyo na vichwa vibovu huwa tunaishia kushangaa na kucheka wanavyoongea vile maana sisi tunaona kama matusi kumbe wenzetu kule kwao hayo maneno ni ya kawaida tu!
 
Nitafika one day vipi kuhusu sekta za serikali kuajiriwa inawezekana?
Au nako ubaguzi mwingi?
Nasikia tu huko vijana wengi hawafatilii shule kabisa
Unafuu wa maisha uko vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…