Hahahaha lugha haina hayo machoFanya tathmini katika maneno utakayoongea ndani ya siku moja, asilimia kubwa ni maneno yenye asili ya kiarabu na sio majina ya vitu ambavyo vingi ni vya kutengeneza na vimetengenezwa na Waingereza na badala yake vinakuja vikiwa tayari na majina ambapo sisi huwa tunatohoa tu!! Haiingii akilini tunapoongelea lugha kama lugha we unakuja na vitu vya kutengenezwa. Ambapo mtengenezaji ni Mwingereza.
[emoji2986][emoji2986][emoji2986]
Huo sio uthibitisho wa kitafiti bali ni majina ya vitu na vingi sana vilivyotengenezwa na Waingereza! Hiyo sio lugha ndugu bali ni vifaa vilivyogunduliwa/kutengenezwa na Waingereza "Printa" hiyo sio lugha bali ni jina la kifaa, ukija kwenye lugha ya kiswahili lipo neno lake.
Huo sio uthibitisho wa kitafiti bali ni majina ya vitu na vingi sana vilivyotengenezwa na Waingereza! Hiyo sio lugha ndugu bali ni vifaa vilivyogunduliwa/kutengenezwa na Waingereza "Printa" hiyo sio lugha bali ni jina la kifaa, ukija kwenye lugha ya kiswahili lipo neno lake.
Sasa mbona hasira? 🤔Naton Jr
Tatizo mmedumazwa na maneno ya kiingereza kwasababu ya kupenda kutohoa na kuhisi mnaongea/andika maneno kwa kiswahili kumbe bado mmefungwa kihisia na hamjui kuwa bado mnaongea neno lile lile la kiingereza, mfano mdogo "JUICE" wengi wanalitohoa na kuona wanaongea kiswahili "JUISI" kumbe bado mnazunguka mle mle. Kwa asilimia kubwa, Kiswahili ni Kiarabu. Kubali kataa. Wala English haitokuwa/haiwi na misamiati mingi kwenye kiswahili.
Unachoongea kinaangukia number 1 katikati aina za maneno kwenye lugha ambayo ni nomino
Katikati lugha yoyote ulimwenguni, nomino ndio kikundi cha maneno chenye zaidi ya 50% (ndio maana ni number 1 hapo) ya jumla ya maneno yote kwenye lugha yoyote
Unahitaji shule kubwa sana ya lugha we mwarabu
View attachment 1620709
Hasira inaonekana? [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]Sasa mbona hasira? [emoji848]
Ndio hivyo sasa, maneno ya kiingereza tunayapokea kama tulivyoyapokea ya kiarabu na lugha nyingineNani anahitaji shule! Hayo maneno uliyoorodhesha humo mengi ni majina ya vitu ambavyo vimegunguliwa/tengenezwa baada ya lugha ya kiswahili kuwepo na sio hapo zamani. Na ndio maana tunasema lugha ya kiswahili bado inaendelea kukua siku baada ya siku...Kwasababu kadiri siku zinavyokwenda kuna vitu vipya vinagunduliwa ambavyo vinahitaji kuwa na majina yake kwa kiswahili ndipo inapotokea kutoholewa.
Hujui kiswahili ndugu.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Upate vipi muda wa kuhoji kwani ulikuwepo? Hata kama tunayapokea bado hayatobadilisha uhalisia na uasili wa kitu!Ndio hivyo sasa, maneno ya kiingereza tunayapokea kama tulivyoyapokea ya kiarabu na lugha nyingine
Mbona tulivyopokea ya kiarabu hatukuhoji kwanini hayafanani na Kibantu [emoji4]
Na ndivyo lugha ilivyo, ipo flexible inajilelea yenyewe na kujikuza yenyewe, kwa hiyo huwezi kulaumu kwanini maneno ya kiarabu ni kidogo zaidi kuliko maneno yaliyokopwa kutoka kiingereza, ndio makuzi ya lugha hayoUpate vipi muda wa kuhoji kwani ulikuwepo? Hata kama tunayapokea bado hayatobadilisha uhalisia na uasili wa kitu!
Yeah asili yake ni kibantu tuBado haiwezi kuondoa uhalisia/uasili wake, hata kama maneno ya Kiingereza yataongezeka kwa asilimia ngapi. Kwasababu asili ya kitu itaendelea kubaki vile vile.
'.......... kuanza kutumika huko' wapi? 🤔Hapana, hali ni tofauti kwasasa. Zamani vifaa vingi vya kielektroniki vilikuwa vina lugha ya Kiingereza kama lugha mama, lakini kutokana na kukuwa kwa Kiswahili kwasasa hali hiyo imebadilika na kiswahili kimeshapenya huko. Ugumu upo kwa baadhi ya maneno ya kiswahili ambayo ni magumu kwenye kutamka na kuyaelezea, ndio inapelekea kuchanganya maneno ya kiingereza, kwasababu maneno ya kiingereza ni rahisi kutamka. Watengenezaji wengi wa vifaa vya kielektroniki hutumia lugha ya Kiingereza kutokana na uasili na hivyo kuwa ni lugha ya mazoea kiasi kwamba kifaa kile kile kama kikiwekwa lugha ya kiswahili inamuwiya vigumu mtumiaji kuweza kukitumia kwasababu ya lugha. Lakini pia kutokana na kukua kwa Kiswahili kwasasa kuna unafuu kwa baadhi ya vifaa, kwa vile tayari lugha ya kiswahili imeshafikia kiasi cha kutambulika na kuanza kutumika huko.
Lugha za kibantu tutarudi kwenye lugha za makabila, kiswahili ni second selection, makabila yote ya kibantu wana lugha zao. Ni tofauti na kiswahili mzee!! Unakwama wapi?Yeah asili yake ni kibantu tu
Naamanisha kwenye vifaa vya kielektroniki.'.......... kuanza kutumika huko' wapi? [emoji848]
Juzi kwenye campaign za CCM huko Arusha kuna mbunge alitamka maneno ya kilugha yanayosikika kama 'ngashtuka machale kun' desa' akatafsiri kwa Kiswahili kwamba ni 'nimeshtuka machale kunicheza'Lugha za kibantu tutarudi kwenye lugha za makabila, kiswahili ni second selection, makabila yote ya kibantu wana lugha zao. Ni tofauti na kiswahili mzee!! Unakwama wapi?
Ukimweka Mchaga aongee lugha yake na Mkurya aongee lugha yake hawatoweza kuelewana kamwe, na zote hizo ni lugha za Kibantu, kwanini iwe hivyo?? Lakini tukiwa kwenye kiswhili wote hao wataelewana, matamshi na lafudhi tu ndizo zitakazotofautiana. Kwasababu kiswahili wanajifunza na sio lugha mama kwao.
Labeled kutoka viwandani kabisa au kwenye BAKITA?Naamanisha kwenye vifaa vya kielektroniki.
Weka na kwa Kikurya maneno hayo hayo aliyotamka!Juzi kwenye campaign za CCM huko Arusha kuna mbunge alitamka maneno ya kilugha yanayosikika kama 'ngashtuka machale kun' desa' akatafsiri kwa Kiswahili kwamba ni 'nimeshtuka machale kunicheza'
Hivi bado tunahitaji debate hapa kwamba kiswahili ni typically kibantu muarabu? [emoji848]
Kutoka kiwandani kabisa, kwani simu wanatengeneza BAKITA?Labeled kutoka viwandani kabisa au kwenye BAKITA?