Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,867
- 19,250
Hahahaha lugha haina hayo machoFanya tathmini katika maneno utakayoongea ndani ya siku moja, asilimia kubwa ni maneno yenye asili ya kiarabu na sio majina ya vitu ambavyo vingi ni vya kutengeneza na vimetengenezwa na Waingereza na badala yake vinakuja vikiwa tayari na majina ambapo sisi huwa tunatohoa tu!! Haiingii akilini tunapoongelea lugha kama lugha we unakuja na vitu vya kutengenezwa. Ambapo mtengenezaji ni Mwingereza.
[emoji2986][emoji2986][emoji2986]
Kwani hakuna nomino za majina zilizokopwa kutoka kiarabu? Tena ndio nyingi kwenye kale kaisilimia chini ya saba ya maneno ya kiarabu kwenye kiswahili.