Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,867
- 19,250
Hoja yako ni ipi hasa we mwarabu sababu sikuelewi? 🤔Kwa akili yako waziri mzima kweli asijue kuwa Tanzania ni Muungano wa Zanzibar na Tanganyika? Unatetea eti misspelling!! Mbona unaongea utopolo? Nijuavyo mimi kama angeandika Tanzania ni Muungano wa Zanzibare na Tanganyika:
Zanzibar kuiandika kama Zanzibare hiyo ndio misspelling! Lakini kaandika kabisa eti Pemba na Msumbiji unasema misspelling kweli! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]