Hoja yako ni ipi hasa we mwarabu sababu sikuelewi? 🤔Kwa akili yako waziri mzima kweli asijue kuwa Tanzania ni Muungano wa Zanzibar na Tanganyika? Unatetea eti misspelling!! Mbona unaongea utopolo? Nijuavyo mimi kama angeandika Tanzania ni Muungano wa Zanzibare na Tanganyika:
Zanzibar kuiandika kama Zanzibare hiyo ndio misspelling! Lakini kaandika kabisa eti Pemba na Msumbiji unasema misspelling kweli! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Pia usisahau kurejea katika historia, asilimia kubwa ni watu waliopelekwa kule enzi za utumwa, na sana sana wakitokea tabora, ujiji mpaka nchi ya Congo huko.Wabongo watu wa ajabu sana, badala ya kuwashangaa Wasukuma na kiswahili chao cha ajabu ajabu(maana hata hawajui matumizi ya R na L) eti wanataka kusema Zanzibar hawajui kiwahili! Aguju!!! Kwa taarifa tu kule kiswahili ndio lugha mama. Kama mtu ataongea lugha nyingine basi hiyo ni yakujifunza
Misspelling ni pale mtu anapotamka au kuandika herufi isivyosahihi za neno husika.Hoja yako ni ipi hasa we mwarabu sababu sikuelewi? [emoji848]
Kabla ya utumwa unataka kusema hakukuwa na watu kule ? Unaijua Kilwa empire? Zanzíbar / Zenji empire ? Mreno anafika Áfrika Mashariki mnamo 1500 akakuta watu wanaishi tena na miji, Akaiteketeza Kilwa n.k ndipo waswahili wakawaomba Waomani waje kuwasaidia kumtimua Mreno..... Waswahili hawakuanza leo wala jana história yao, wapo kitambo Sana, we unakuja kuleta história ya 1800 wakati tokea kabla ya 1500 watu wanaishi na wanajitawala wenyewe.....Pia usisahau kurejea katika historia, asilimia kubwa ni watu waliopelekwa kule enzi za utumwa, na sana sana wakitokea tabora, ujiji mpaka nchi ya Congo huko.
Hao waliochukuliwa na kupelekwa kule kipindi cha biashara ya utumwa ni around 1800 (Karne ya 19). Lakini visiwa vya Zanzibar vilikuwa na watu tangu mwaka 18KK.Pia usisahau kurejea katika historia, asilimia kubwa ni watu waliopelekwa kule enzi za utumwa, na sana sana wakitokea tabora, ujiji mpaka nchi ya Congo huko.
OK hiyo yake ilikua tongue twistMisspelling ni pale mtu anapotamka au kuandika herufi isivyosahihi za neno husika.
[emoji2954][emoji2954][emoji2954]OK hiyo yake ilikua tongue twist
Hivi afisa kipenyo maana yake nini?Maafisa vipenyo mmeshapiga kura au bado?
Zanzibar sio kisiwa cha Waarabu, ni kisiwa cha watu weusi tena walikuwepo tangu mwaka 18KK, Waarabu waliingia Zanzibar pamoja na maeneo mengine ya mwambao wa Afrika Mashariki kwenye miaka ya 1600s, kipindi hicho Wareno chini ya Vasco Da Gama Kwenye mwaka 1499 tayari walikuwa wameshazunguka bara la Afrika, na kuweka makazi yao kwenye baadhi ya maeneo ya Zanzibar Kilwa na kuyatawala maeneo hayo. Watu weusi waliokuwepo Zanzibar walimuomba msaada Mwarabu kwa lengo la kuwaondoa Wareno na kwa hilo walifanikiwa. Baadhi ya ushahidi wa majengo ya wareno ni pamoja na Ngome Kongwe (Zanzibar). Lakini pia Mwarabu baada ya kutoa msaada nae alivutiwa na maeneo hayo ndipo Sultan Sayyid Said wa Oman akahamisha makaazi yake kutoka Oman na kuhamia Zanzibar, Sultan wa kwanza kutawala Zanzibar alikuwa akiitwa Majid bin Said ambae ni mtoto wa Sultan Sayyid Said akaanzisha kilimo cha minazi na Karafuu. Watumwa waliochukuliwa kutoka Bara wengi wao walikuwa wakiuzwa nje ya Zanzibar na wachache waliobakia Zanzibar walitumikishwa kwenye hayo mashamba. Iweje useme Zanzibar ni kisiwa cha waarabu??Zanzibar ni Kisiwa cha Waarabu.
Waliamua kuishi na watumwa wao kutoka Bara.
Baadae watumwa wakawapindua kwa msaada wa Wakoloni toka Bara.
Watumwa bado wana mambo ya ajabu sana.
Wapi umeambiwa maneno kumi[emoji3]Sawa,..they say don't argue with the fool people might not find the different..
Yataje hayo maneno kumi..
@Naton Jr umetisha sanaOK sasa angalia mwenyewe hapa kati ya kiswahili na kishona + kibajuni (vibantu) kilivyoendana then linganisha na kiarabu View attachment 1620650
Kwani hicho ndicho Kiswahili chote,au baadhi ya maneno ya Kiswahili??@Naton Jr umetisha sana
Halafu kuna masheikh na wanasiasa huku bara kutwa kuwapigania wazanzibarEti ''Mijitu ya Bara'' kwa hizo dharau ndio unajikuta Mstaarabu?
Inna llilah,
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Sasa wewe unashangaa hilo wakati kuna waziri kabisa alishawahi kusema Tanzania ni Muungano wa Pemba na Msumbiji.