Huku Zanzibar kuna mambo ya ajabu sana

Huku Zanzibar kuna mambo ya ajabu sana

Wasioutaka Muungano ni waarabu walowezi na wengine wa kuja, Sidhani kama hawa wa zanzibar halisi wanaotafuna mishahara na marupurupu ya kodi zetu za bara watataka kukata hiyo mirija

Zanzibar imekopa zaidi ya trillion 2 kwa kipindi cha miaka mitano iliopita kutoka kwa mgongo wa bara, zanzibar haina uwezo wa kukopesheka hata billion 300

Maana yake zanzibar wakimessup na hizo trillion 2 sisi ndio tunalipa deni lote hilo of course sisi ndio tunawalipia

Wanatumia umeme wetu wa bure kabisa gharama zao tunalipishwa sisi, huu Muungano unatutafuna sisi kuliko kawaida.
Uwe unafanya tafiti kabla ya kuandika unachoandika... Umeme unazalishwa bara lakini wakaazi wa Zanzibar nao wanauziwa kutoka katika shirtypoka la serikali. Vipi wawe wanatumia umeme bure!? Wakati wanauziwa?
 
We unahisi sisi watanzania tunafaidika nini na muungano?
Hilo Ayala jiulize wewe,.. Mimi najua nini nataka Katika nchi yangu

Ni kikundi cha Watu kidogo Tu ndio wanafaidika na Mungano.

Pale Mungano utakapovunjika kutakuwa na manufaa makubwa Sana Kwa Tanganyika na Zanzibar
 
Wasioutaka Muungano ni waarabu walowezi na wengine wa kuja, Sidhani kama hawa wa zanzibar halisi wanaotafuna mishahara na marupurupu ya kodi zetu za bara watataka kukata hiyo mirija

Zanzibar imekopa zaidi ya trillion 2 kwa kipindi cha miaka mitano iliopita kutoka kwa mgongo wa bara, zanzibar haina uwezo wa kukopesheka hata billion 300

Maana yake zanzibar wakimessup na hizo trillion 2 sisi ndio tunalipa deni lote hilo of course sisi ndio tunawalipia

Wanatumia umeme wetu wa bure kabisa gharama zao tunalipishwa sisi, huu Muungano unatutafuna sisi kuliko kawaida.
Sasa kama Muungano huu unawatafuna bara na una faida kwa Zanzibar kwanini kila wanaoanzisha vuguvugu la kutaka kujitoa kwenye Muungano huu wanachukuliwa hatua kali? Kwanini kitu kinachoumiza bado muendelee kuking'ang'ania? Ukiona hivyo ujue kuna faida kwa pande zote mbili. Hata rais wa pili wa Zanzibar, marehemu mzee Aboud Jumbe zilipoanza tetesi kuwa anataka kuvunja Muungano aliwekwa kizuizini na Nyerere Kigamboni hadi mwisho wa uhai wake, bado tu hujiulizi kwanini iwe hivyo?
Mambo ya Muungano toka 11 hadi sahv 24 yanaongezeka kila siku ikiwemo mikopo ya nje ambapo Zanzibar haiwezi kukopa nje bila ya approval ya SJMT, sasa iweje useme inakopa kwa mgongo wa bara? Zanzibar ilipotaka kujiunga na Umoja wa nchi za Kiislam SJMT iliikatalia kwa kuwa ilisema iko mbioni nayo kujiunga kama serikali ya Muungano lakini hadi leo iko wapi? Na hiyo yote ni kuinyima Zanzibar kunufaika na misaada inayotolewa na umoja huo. Kaa chini utulize akili yako uangalie tena kwa makini sababu za Muungano huu kung'ang'aniwa.
 
Hahahaha eti kiswahili kimeanzia zanzibar na zanzibar Hakuna makabila sasa iweje zaidi ya 80% ya msamiati wa kiswahili unatoka kwenye makabila ya kibantu?

Nyerere ndio aliefundisha kiswahili? Wakati mjerumani alikuta tayari kiswahili kipo na akatafsiri Bible kutoka kijerumani kwenda kiswahili huko Bagamoyo na Bible hiyo kwa wakati huo huo ikawa inatumika kila pembe ya nchi?
Mkuu, Kiswahili ni mchanganyiko wa maneno ya lugha ya Kiarabu,Kibantu,Kihindi,Kireno,Kingereza nk

Kiswahili kilikuwa kinaandikwa Kwa herufi za Kiarabu,asilimia 60 au zaidi Katika Kiswahili ni maneno ya Kiarabu,40 Kibantu nk

Jamaa mmoja kutoka Ujarumani ndie alikuwa mtu wa Mwanzo kuandika Grammar (ufasihi) ya Kiswahili

Zanzibar kunazungumzwa lugha moja Tu,ambayo ni Kiswahili,Kiswahili kimeanzia Zanzibar

Waswahili ni watu wanaoishi kando kando ya Bahari ya Hindi,Mombasa,Zanzibar,kilwa,Mafi,Bagamoyo ...nk

Utamaduni wa Waswahili ni mchanganyiko wa Utamaduni wa Kibantu, Kihindi,Kiarabu ...

Nyerere ndio kawafundisha Watanganyika Kiswahili, pale alipotangaza kuwa Kiswahili kiwe Lugha ya Taifa..

Bila Shaka Kiswahili ni Lugha yako ya Pili baada lugha yako ya kikabila ambayo mama ako alikuwa akizungumza na wewe ulipokuwa ndoto..

Mkuu,huo ndio ukweli.
 
Mkuu, Kiswahili ni mchanganyiko wa maneno ya lugha ya Kiarabu,Kibantu,Kihindi,Kireno.

Kiswahili kilikuwa kinandikwa Kwa herufi za Kiarabu,asilimia 60 au zaidi Katika Kiswahili ni maneno ya Kiarabu,40 Kibantu nk

Jamaa mmoja kutoka Ujarumani ndie alikuwa mtu wa Mwanzo kuandika Grammar (ufasihi) wa Kiswahili

Zanzibar kunazungumzwa lugha moja Tu,ambayo ni Kiswahili,Kiswahili kimeanzia Zanzibar

Waswahili ni watu wanaoishi kando kando ya Bahari ya Hindi,Mombasa,Zanzibar,kilwa,Mafia..nk

Utamaduni wa Waswahili ni mchanganyiko wa Utamaduni så Kibantu, Kihindi,Kiarabu ...

Nyerere ndio kawafundisha Watanganyika Kiswahili, pale alipotangaza kuwa Kiswahili iwe Lugha ya Taifa,
Tatizo unajaribu kumuelisha asietaka kuelewa
سواحل = Pwani
Mswahili = mtu wa pwani
Kiswahili = lugha ya pwani
Hataki kukuelewa.
 
mzanzibar anayeponda muungano ni maamuma anayesubiria kuelekezwa na wachumia tumbo,hakuna mzanzibar timamu anaukataa muungano.

kwanza wao wanapata zaidi kuliko wabara amabo wanazushiwa kuwakandamiza.

zanzibari ina wajinga wawili watatu wanalilia ijitawale ili waishi kwa kutegemea ufadhiri wa nchi za kiarabu ziingie mifukoni kwao.ujinga kabisa.
Mfano Zanzibar inataka ijitawale na kutegemea ufadhili wa Wairani nyie inakuhusuni nini?

Wazanzibari waliamua kujiunga na nyinyi,Vile vile wanahaki ya kuamua kujitoa katika Mungano

Hamna kisiwa masikini, Mungano unakifanya kisiwa cha Zanzibar kiwe masikini, Wazanzibari wamekuwa mafukara

Kuna mambo mengi hivi sasa hayawezi kufanyika Zanzibar Kwa sababu serikali ya Mungano haitaki

Mfano,Zanzibar haiwezi kukopa,Zanzibar haiwezi kuwa Free port,Misaada lazima ipitie Katika serikali ya Mungano ambayo ni serikali ya Tanganyika nk

yako mengi,Hayo ni mambo machache tu,Kama Zanzibar ingeliweza kujifanyie wenyewe basi ufukara ungeliondoka Zanzibar..

Mungano hauna faida na Zanzibar wala Tanganyika Mungano unanufaisha kikundi cha Watu fulani tu
 
Tatizo unajaribu kumuelisha asietaka kuelewa
سواحل = Pwani
Mswahili = mtu wa pwani
Kiswahili = lugha ya pwani
Hataki kukuelewa.
Hawa watu wa Bara Kiswahili ni lugha yao ya pili,Wana lugha ya kikabila 'Mother tounge',halafu ndio Kiswahili

Hawa watu penye R anaweka L na penye L anaweka R...

halafu wanajifanya Kiswahili wanakijua
 
Wanajua ila basi tu, ubishi ni sehemu ya maisha yao.
 
Sasa kama Muungano huu unawatafuna bara na una faida kwa Zanzibar kwanini kila wanaoanzisha vuguvugu la kutaka kujitoa kwenye Muungano huu wanachukuliwa hatua kali? Kwanini kitu kinachoumiza bado muendelee kuking'ang'ania? Ukiona hivyo ujue kuna faida kwa pande zote mbili. Hata rais wa pili wa Zanzibar, marehemu mzee Aboud Jumbe zilipoanza tetesi kuwa anataka kuvunja Muungano aliwekwa kizuizini na Nyerere Kigamboni hadi mwisho wa uhai wake, bado tu hujiulizi kwanini iwe hivyo?
Mambo ya Muungano toka 11 hadi sahv 24 yanaongezeka kila siku ikiwemo mikopo ya nje ambapo Zanzibar haiwezi kukopa nje bila ya approval ya SJMT, sasa iweje useme inakopa kwa mgongo wa bara? Zanzibar ilipotaka kujiunga na Umoja wa nchi za Kiislam SJMT iliikatalia kwa kuwa ilisema iko mbioni nayo kujiunga kama serikali ya Muungano lakini hadi leo iko wapi? Na hiyo yote ni kuinyima Zanzibar kunufaika na misaada inayotolewa na umoja huo. Kaa chini utulize akili yako uangalie tena kwa makini sababu za Muungano huu kung'ang'aniwa.
Hakuna chochote tunachofaidi kutoka kwenye huu Muungano zaidi ya kubeba mizigo ya watu, kama sio Karume kumfuata Nyerere kutafuta ulinzi wa visiwa vyake tusingekaa tuungane na zanzibar, ni kero
 
Mfano Zanzibar inataka ijitawale na kutegemea ufadhili wa Wairani nyie inakuhusuni nini?

Wazanzibari waliamua kujiunga na nyinyi,Vile vile wanahaki ya kuamua kujitoa katika Mungano

Hamna kisiwa masikini, Mungano unakifanya kisiwa cha Zanzibar kiwe masikini, Wazanzibari wamekuwa mafukara

Kuna mambo mengi hivi sasa hayawezi kufanyika Zanzibar Kwa sababu serikali ya Mungano haitaki

Mfano,Zanzibar haiwezi kukopa,Zanzibar haiwezi kuwa Free port,Misaada lazima ipitie Katika serikali ya Mungano ambayo ni serikali ya Tanganyika nk

yako mengi,Hayo ni mambo machache tu,Kama Zanzibar ingeliweza kujifanyie wenyewe basi ufukara ungeliondoka Zanzibar..

Mungano hauna faida na Zanzibar wala Tanganyika Mungano unanufaisha kikundi cha Watu fulani tu

mjiunge sasa nani anawazuia??
 
Mkuu, Kiswahili ni mchanganyiko wa maneno ya lugha ya Kiarabu,Kibantu,Kihindi,Kireno,Kingereza nk

Kiswahili kilikuwa kinaandikwa Kwa herufi za Kiarabu,asilimia 60 au zaidi Katika Kiswahili ni maneno ya Kiarabu,40 Kibantu nk

Jamaa mmoja kutoka Ujarumani ndie alikuwa mtu wa Mwanzo kuandika Grammar (ufasihi) ya Kiswahili

Zanzibar kunazungumzwa lugha moja Tu,ambayo ni Kiswahili,Kiswahili kimeanzia Zanzibar

Waswahili ni watu wanaoishi kando kando ya Bahari ya Hindi,Mombasa,Zanzibar,kilwa,Mafi,Bagamoyo ...nk

Utamaduni wa Waswahili ni mchanganyiko wa Utamaduni wa Kibantu, Kihindi,Kiarabu ...

Nyerere ndio kawafundisha Watanganyika Kiswahili, pale alipotangaza kuwa Kiswahili kiwe Lugha ya Taifa..

Bila Shaka Kiswahili ni Lugha yako ya Pili baada lugha yako ya kikabila ambayo mama ako alikuwa akizungumza na wewe ulipokuwa ndoto..

Mkuu,huo ndio ukweli.
Hahahaha eti asilimia 60? Kwa hiyo nikienda Dubai naweza kuongea na waarabu na wakanielewa vizuri kabisa 60% ya Mazungumzo yangu?

Nikikuambia tu unitajie maneno ya kiarabu kwenye sentences tunazoandika humu hata asilimia 20 ya maneno ya kiarabu hupatapa

Unaongea tu kama umekatwa kichwa, kwa msaada wako tu ni kwamba inahitajika katika lugha yoyote kuelewa angalau asilimia 40 tu ya maneno yote kwenye hiyo lugha then you officially a speaker of it, sasa mbona hakuna mtanzania mwenye uwezo wa kuongea au kusikia kiarabu bila kujifunza rasmi kama ajifunzavyo lugha nyingine!

Kiswahili ni kibantu kwa zaidi ya 90%

Hiyo dialect ya huko kwenu ndio yenye kiarabu kingi na sio kiswahili tumachozungumza kila siku huku.
 
Tatizo unajaribu kumuelisha asietaka kuelewa
سواحل = Pwani
Mswahili = mtu wa pwani
Kiswahili = lugha ya pwani
Hataki kukuelewa.
Hahahaha kama huu ndio ushahidi na neno 'waafrika' au 'Africa' tusemeje?

Sababu na hili neno sio asili ya wakaazi wa hili bara bali limeletwa na wageni na wamejitungia tu from nowhere kama walivyojitungia 'swahili'

Mlima Kilimanjaro kiasili unaitwa 'kilima'Kyarua' saivi unatambulika kama Kilimanjaro kutokana na misconception ya wageni, hivyo kiswahili kuitwa kiswahili hakukifanyi kiwe utakavyo bado kitabaki kuwa ni kibantu.
 
mjiunge sasa nani anawazuia??
Zanzibar ina katiba, bunge, majeshi, serikali, mahakama, mipaka na kila sifa ya nchi

Hata hivyo katika Muungano wetu ni baadhi tu ya maeneo ndio tunashirikiana lakini zaidi ya asilimia 99 zanzibar ipo huru kabisa kujifanyia mambo yake yenyewe bila kuhitaji kikao chochote na bara

Sasa mshangae huyu jamaa sijui anaongea nini.
 
Hilo Ayala jiulize wewe,.. Mimi najua nini nataka Katika nchi yangu

Ni kikundi cha Watu kidogo Tu ndio wanafaidika na Mungano.

Pale Mungano utakapovunjika kutakuwa na manufaa makubwa Sana Kwa Tanganyika na Zanzibar
Hakuna chochote tutanufaika na kuvunjika Muungano zaidi ya kusave pesa za kulipa watu mishahara na kugharamia liabilities, mambo mengi na kero nyingi za Muungano zimetatuliwa

Kubwa ni la mafuta, tayari imeshaamuliwa mafuta sio suala la Muungano, haya ngoja tuone mkiwa Dubai

Saivi kero za Muungano ni 2 tu na nina uhakika Magufuli ataziachia na napenda zisiwe sehemu ya Muungano ili tuone crying babies mnafika wapi!

Nitafurahi siku naona wahamiaji haramu kutoka zanzibar wamekamatwa Tanganyika
 
Back
Top Bottom