Mkuu, Kiswahili ni mchanganyiko wa maneno ya lugha ya Kiarabu,Kibantu,Kihindi,Kireno,Kingereza nk
Kiswahili kilikuwa kinaandikwa Kwa herufi za Kiarabu,asilimia 60 au zaidi Katika Kiswahili ni maneno ya Kiarabu,40 Kibantu nk
Jamaa mmoja kutoka Ujarumani ndie alikuwa mtu wa Mwanzo kuandika Grammar (ufasihi) ya Kiswahili
Zanzibar kunazungumzwa lugha moja Tu,ambayo ni Kiswahili,Kiswahili kimeanzia Zanzibar
Waswahili ni watu wanaoishi kando kando ya Bahari ya Hindi,Mombasa,Zanzibar,kilwa,Mafi,Bagamoyo ...nk
Utamaduni wa Waswahili ni mchanganyiko wa Utamaduni wa Kibantu, Kihindi,Kiarabu ...
Nyerere ndio kawafundisha Watanganyika Kiswahili, pale alipotangaza kuwa Kiswahili kiwe Lugha ya Taifa..
Bila Shaka Kiswahili ni Lugha yako ya Pili baada lugha yako ya kikabila ambayo mama ako alikuwa akizungumza na wewe ulipokuwa ndoto..
Mkuu,huo ndio ukweli.