Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafuta hoyuba ya Lukuvi kama huelewi kitu!Hakuna chochote tunachofaidi kutoka kwenye huu Muungano zaidi ya kubeba mizigo ya watu, kama sio Karume kumfuata Nyerere kutafuta ulinzi wa visiwa vyake tusingekaa tuungane na zanzibar, ni kero
Sasa ulitaka waarabu wawaongelee watu wa bara wakati walikuja na mashua wakashukia Pwani?Tunaongelea mwambao sio maeneo menhine ya bara, sawa mjuzi Zanzibar kabla ya kuitwa Zanzibar ilikuwa inaitwaje? Na kiswahili kabla ya kuitwa kiswahili kilikuwa kinaitwaje?
Kutapeliwa ni ushamba siyo upolewazanzibar ni wapole sana mpaka wamepitiliza ndio maana baadhi yao wakija bara hutapeliwa
Kuwa na akili inamaana wale Waarabu wa kule Shinyanga na Geita walifikaje? Au walishuka na ndege Chato?Sasa ulitaka waarabu wawaongelee watu wa bara wakati walikuja na mashua wakashukia Pwani?
Kama wangekuja na ndege wakashukia Geita na kuanza makazi na shughuli zao Geita wangewaita wakaazi wa Geita kwa jina tofauti na lugha yao pia wangeibatiza jina tofauti
Kama kwa kiarabu bara ni albaru wangewaita hivyo na lugha walioikuta wakiongea wangeiita kialbaru
Ndicho kilichotokea kwenye kiswahili
Kweli lakini hiyo yote ni katika kulinda heshima, mila, desturi zetu, kwasababu watu kutoka bara wengi ni waharibifu!!Wa znz wabinafsi sana
Unaanza kuitathmini na kuitambua hali pale unapoikabili kwa mara ya kwanza, walianza kuwajua na kujua lugha ya wenyeji wao pale walipofikia.Kuwa na akili inamaana wale Waarabu wa kule Shinyanga na Geita walifikaje? Au walishuka na ndege Chato?
Wenyeji walikuwa wanaongea lugha zao za Kibantu....Jitathmini ilikuwaje mpaka wakawa wanaelewana, na hapo ndipo kilipozaliwa Kiswahili.Unaanza kuitathmini na kuitambua hali pale unapoikabili kwa mara ya kwanza, walianza kuwajua na kujua lugha ya wenyeji wao pale walipofikia.
Na bado kiswahili mpaka leo kikabaki kwamba ni kibantu kwa zaidi ya 90 %Wenyeji walikuwa wanaongea lugha zao za Kibantu....Jitathmini ilikuwaje mpaka wakawa wanaelewana, na hapo ndipo kilipozaliwa Kiswahili.
Tusibishanie kitu ambacho kipo kwenye mapokeo, anzisha uzi na uweke jina la kitu chochote cha Kiswahili then watu toka makabila mbali mbali wacomment jina la hicho kitu kwa lugha za makabila yao tuone kama kuna mfanano. Kumaliza utata.Na bado kiswahili mpaka leo kikabaki kwamba ni kibantu kwa zaidi ya 90 %
Sasa unataka kusema kiswahili ni nini?Kwa utafiti upi uliothibitisha hivyo?
Onesha 60% ya kiarabu kwenye hayo maneno hapo juu ulioandika 👆👆👆Tusibishanie kitu ambacho kipo kwenye mapokeo, anzisha uzi na uweke jina la kitu chochote cha Kiswahili then watu toka makabila mbali mbali wacomment jina la hicho kitu kwa lugha za makabila yao tuone kama kuna mfanano. Kumaliza utata.
Sisi tulivyowaita wazungu kutoka UK waingereza na lugha yao kiingereza ina maana sisi ndio tuliovumbua kiingereza?Wenyeji walikuwa wanaongea lugha zao za Kibantu....Jitathmini ilikuwaje mpaka wakawa wanaelewana, na hapo ndipo kilipozaliwa Kiswahili.
Kuna vitu viwili unachanganya! Africa kama Africa ni jina la kupewa ni sawa na Victoria, hayo ni majina tu ya kupewa na watu waliokuja kama Explorer, lakini tunapoongelea lugha ni kitu ambacho kimetokana na mchanganyiko wa misamiati, hivi unafeli wapi? Weka kitu chochote kwa jina la kiswahili tuangalie na makabila ya kibantu wanakitambua kwa jina gani, ili tuone je jina la kitu hicho litashabihiana na lugha nyingi za kibantu au hazitoshabihiana basi.Sasa unataka kusema kiswahili ni nini?
Hivi wageni walivyoliita hili bara Africa, ina maana ndio wamelianzisha wao, zamani halikuwepo? Ina maana zamani halikutambulika kwa jina la wenyeji?
Weka hapa maneno unayayoyataka wewe nikuoneshe kushabihiana kwake, nakuwekea inavyosomeka neno husika la kiarabu.Onesha 60% ya kiarabu kwenye hayo maneno hapo juu ulioandika [emoji115][emoji115][emoji115]
Yaweke hapa moja moja
Ndio nimekuambia tu ili kukurahisishia kazi na kuokoa muda kwasababu topic hapa ni kibantu versus kiarabu, wewe niwekee maneno yenye asili ya kiarabu kutoka kwenye hicho kikundi cha manenoKuna vitu viwili unachanganya! Africa kama Africa ni jina la kupewa ni sawa na Victoria, hayo ni majina tu ya kupewa na watu waliokuja kama Explorer, lakini tunapoongelea lugha ni kitu ambacho kimetokana na mchanganyiko wa misamiati, hivi unafeli wapi? Weka kitu chochote kwa jina la kiswahili tuangalie na makabila ya kibantu wanakitambua kwa jina gani, ili tuone je jina la kitu hicho litashabihiana na lugha nyingi za kibantu au hazitoshabihiana basi.
Kha! Nimekupa option rahisi tu, weka maneno unayotaka! Nimalize kazi.Ndio nimekuambia tu ili kukurahisishia kazi na kuokoa muda kwasababu topic hapa ni kibantu versus kiarabu, wewe niwekee maneno yenye asili ya kiarabu kutoka kwenye hicho kikundi cha maneno
Weka maneno yaliyokopwa kutoka kiarabu, ili tuone yapi yatakua mengi kati ya kutoka kiarabu na kutoka lugha za Kibantu period.
Mbona simple sana
Weka hapa maneno unayayoyataka wewe nikuoneshe kushabihiana kwake, nakuwekea inavyosomeka neno husika la kiarabu.
Kha! Nimekupa option rahisi tu, weka maneno unayotaka! Nimalize kazi.