Huku Zanzibar kuna mambo ya ajabu sana

Huku Zanzibar kuna mambo ya ajabu sana

Tunaongelea mwambao sio maeneo menhine ya bara, sawa mjuzi Zanzibar kabla ya kuitwa Zanzibar ilikuwa inaitwaje? Na kiswahili kabla ya kuitwa kiswahili kilikuwa kinaitwaje?
 
Hakuna chochote tunachofaidi kutoka kwenye huu Muungano zaidi ya kubeba mizigo ya watu, kama sio Karume kumfuata Nyerere kutafuta ulinzi wa visiwa vyake tusingekaa tuungane na zanzibar, ni kero
Tafuta hoyuba ya Lukuvi kama huelewi kitu!
 
Simu yangu haifungui link.
🤔😏
Screenshot_20201105-120052~2.png
 
Tunaongelea mwambao sio maeneo menhine ya bara, sawa mjuzi Zanzibar kabla ya kuitwa Zanzibar ilikuwa inaitwaje? Na kiswahili kabla ya kuitwa kiswahili kilikuwa kinaitwaje?
Sasa ulitaka waarabu wawaongelee watu wa bara wakati walikuja na mashua wakashukia Pwani?

Kama wangekuja na ndege wakashukia Geita na kuanza makazi na shughuli zao Geita wangewaita wakaazi wa Geita kwa jina tofauti na lugha yao pia wangeibatiza jina tofauti

Kama kwa kiarabu bara ni albaru wangewaita hivyo na lugha walioikuta wakiongea wangeiita kialbaru

Ndicho kilichotokea kwenye kiswahili
 
Kuwa na akili inamaana wale Waarabu wa kule Shinyanga na Geita walifikaje? Au walishuka na ndege Chato?
 
Unaanza kuitathmini na kuitambua hali pale unapoikabili kwa mara ya kwanza, walianza kuwajua na kujua lugha ya wenyeji wao pale walipofikia.
 
Wenyeji walikuwa wanaongea lugha zao za Kibantu....Jitathmini ilikuwaje mpaka wakawa wanaelewana, na hapo ndipo kilipozaliwa Kiswahili.
 
Na bado kiswahili mpaka leo kikabaki kwamba ni kibantu kwa zaidi ya 90 %
 
Tusibishanie kitu ambacho kipo kwenye mapokeo, anzisha uzi na uweke jina la kitu chochote cha Kiswahili then watu toka makabila mbali mbali wacomment jina la hicho kitu kwa lugha za makabila yao tuone kama kuna mfanano. Kumaliza utata.
 
Kwa utafiti upi uliothibitisha hivyo?
Sasa unataka kusema kiswahili ni nini?

Hivi wageni walivyoliita hili bara Africa, ina maana ndio wamelianzisha wao, zamani halikuwepo? Ina maana zamani halikutambulika kwa jina la wenyeji?
 
Tusibishanie kitu ambacho kipo kwenye mapokeo, anzisha uzi na uweke jina la kitu chochote cha Kiswahili then watu toka makabila mbali mbali wacomment jina la hicho kitu kwa lugha za makabila yao tuone kama kuna mfanano. Kumaliza utata.
Onesha 60% ya kiarabu kwenye hayo maneno hapo juu ulioandika 👆👆👆

Yaweke hapa moja moja
 
Wenyeji walikuwa wanaongea lugha zao za Kibantu....Jitathmini ilikuwaje mpaka wakawa wanaelewana, na hapo ndipo kilipozaliwa Kiswahili.
Sisi tulivyowaita wazungu kutoka UK waingereza na lugha yao kiingereza ina maana sisi ndio tuliovumbua kiingereza?
 
Sasa unataka kusema kiswahili ni nini?

Hivi wageni walivyoliita hili bara Africa, ina maana ndio wamelianzisha wao, zamani halikuwepo? Ina maana zamani halikutambulika kwa jina la wenyeji?
Kuna vitu viwili unachanganya! Africa kama Africa ni jina la kupewa ni sawa na Victoria, hayo ni majina tu ya kupewa na watu waliokuja kama Explorer, lakini tunapoongelea lugha ni kitu ambacho kimetokana na mchanganyiko wa misamiati, hivi unafeli wapi? Weka kitu chochote kwa jina la kiswahili tuangalie na makabila ya kibantu wanakitambua kwa jina gani, ili tuone je jina la kitu hicho litashabihiana na lugha nyingi za kibantu au hazitoshabihiana basi.
 
Onesha 60% ya kiarabu kwenye hayo maneno hapo juu ulioandika [emoji115][emoji115][emoji115]

Yaweke hapa moja moja
Weka hapa maneno unayayoyataka wewe nikuoneshe kushabihiana kwake, nakuwekea inavyosomeka neno husika la kiarabu.
 
Kuna vitu viwili unachanganya! Africa kama Africa ni jina la kupewa ni sawa na Victoria, hayo ni majina tu ya kupewa na watu waliokuja kama Explorer, lakini tunapoongelea lugha ni kitu ambacho kimetokana na mchanganyiko wa misamiati, hivi unafeli wapi? Weka kitu chochote kwa jina la kiswahili tuangalie na makabila ya kibantu wanakitambua kwa jina gani, ili tuone je jina la kitu hicho litashabihiana na lugha nyingi za kibantu au hazitoshabihiana basi.
Ndio nimekuambia tu ili kukurahisishia kazi na kuokoa muda kwasababu topic hapa ni kibantu versus kiarabu, wewe niwekee maneno yenye asili ya kiarabu kutoka kwenye hicho kikundi cha maneno

Weka maneno yaliyokopwa kutoka kiarabu, ili tuone yapi yatakua mengi kati ya kutoka kiarabu na kutoka lugha za Kibantu period.

Mbona simple sana
 
  • Thanks
Reactions: T11

Kha! Nimekupa option rahisi tu, weka maneno unayotaka! Nimalize kazi.
 
Weka hapa maneno unayayoyataka wewe nikuoneshe kushabihiana kwake, nakuwekea inavyosomeka neno husika la kiarabu.

*Kuna vitu viwili unachanganya! Africa kama Africa ni jina la kupewa ni sawa na Victoria, hayo ni majina tu ya kupewa na watu waliokuja kama Explorer, lakini tunapoongelea lugha ni kitu ambacho kimetokana na mchanganyiko wa misamiati, hivi unafeli wapi? Weka kitu chochote kwa jina la kiswahili tuangalie na makabila ya kibantu wanakitambua kwa jina gani, ili tuone je jina la kitu hicho litashabihiana na lugha nyingi za kibantu au hazitoshabihiana basi. *

Katika kikundi chote hicho cha maneno ulichoandika mwenyewe hapo juu 👆👆niorodheshee maneno 10 tu ya kiarabu

Back
Top Bottom