Carnivora
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,650
- 6,015
Mbona hata sisi huku bara tunaita viazi mbatataNyanya - tungule
Viazi mviringo - mbatata
Ugali -sembe tena wanalipika asubuhi na samaki wao wa wali juu mchuzi chini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hata sisi huku bara tunaita viazi mbatataNyanya - tungule
Viazi mviringo - mbatata
Ugali -sembe tena wanalipika asubuhi na samaki wao wa wali juu mchuzi chini
Hawana lugha za kikabila , bali wanazungumza lahaja za Kiswahili, Kusini ya Unguja kuna lahaja zake kama Kaskazini ,Kati mpaka mjini hamna lahaja (wanazungumza Kiswahili sanifu , kilichochaguliwa na kurasimishwa ni Kiunguja mjini, rudi kwenye história yake). Ukienda Pemba hali kadhalika wana lahaja zao ambapo Pemba Kusini kwa kiasi kikubwa Kiunguja kaskazini, kuna na Wakojani n.k.Nilimsikia mtu akisema hawana makabila ila pia nilisikia history kwamba wote hao wametokea bara haswa Mtwara na Lindi lakini Ukiwasikia lugha wanayo ongea huko vijijini sio standard swahili kilichopo kwenye dictionary
Nipo interested kuwajua zaidi.
LOL kumbe muda wote nilikua na ongea na muarabu 😂😂😂Point yangu haina uzito ila tambua miongoni mwa lugha ambayo misamiati yake inatumiwa na lugha nyingine basi ni kiarabu, kwani kimejitosheleza na hakikopi misamiati kutoka kwenye lugha nyingine, isipokuwa hizo lugha nyingine ndio zinakopa kwa Kiarabu.
Wapo wa zanzibar wengi tu wana hilo tatizo, wengi tu nimewasikia.
Kiswahili ni kibantu sababu moja kuu ni kwamba zaidi ya asilimia 90 ya msamiati wake ni kibantu
Baraza la Kiswahili Tanzania lenye mandatory na hii lugha na machapisho yote ya Utafiti kwa wasomi wa vyuo vikubwa duniani kama Oxford mpaka Mlimani wametoa conclusions kwamba kiswahili ni kibantu wewe ni nani unapinga?
Kumbe kakikuta kama waarabu walivyokikuta.
Kwahiyo hupendi kuongea na mwarabu! Unaogopa nini Shekhe!?LOL kumbe muda wote nilikua na ongea na muarabu [emoji23][emoji23][emoji23]
Okay nimeshakujua.
Ni kweli kabisa usemayo kiswahili kimesheheni lahaja zote za kibantu, kiswahili hakina mfanano typically kama lugha nyingine za French, German, English au ArabicHawana lugha za kikabila , bali wanazungumza lahaja za Kiswahili, Kusini ya Unguja kuna lahaja zake kama Kaskazini ,Kati mpaka mjini hamna lahaja (wanazungumza Kiswahili sanifu , kilichochaguliwa na kurasimishwa ni Kiunguja mjini, rudi kwenye história yake). Ukienda Pemba hali kadhalika wana lahaja zao ambapo Pemba Kusini kwa kiasi kikubwa Kiunguja kaskazini, kuna na Wakojani n.k.
Kiswahili kina lahaja kwa makisio ya haraka haraka 17 hivi, kutokea Somalia (Kibajuni na Kibarawa), pwani ya Kenya , pwani ya Tanzania na visiwa vilivyopo mpaka Msumbiji. Wengine husema Kingazija (Kikomoro) ni lahaja pia ya Kiswahili ila wengine husema si lahaja ya lugha tajwa.
Hakuna mchagga wala mmeru mwenye tatizo la R na L, wenye nayo nawajua,baadhi ya Wazanzibari wakiwamommmhhh zanzibar ya sasa sikatai, mchanganyiko ni mkubwa sana. wazanzibar halisi hasa sisi wa mjini tumebaki wachache tu, wengi wao wapo ulaya na nchi za uarabuni. Zanzibar mjini kwa sasa kuna wauza vinyago tu wachaga na wameru kibaooo. itakuwa hao ndio umewaskia Ally wanasema Arii
Hapana kabisa, sababu ingekua wote tunaweza kukisikia kiarabu naturally kwa kukiongea pia, ila sababu kiswahili sio kiarabu ndio maana hata wa Islam wengi hasa huku bara Hawajui Quran kabisa yaani ni kama kichina kwao japo ni manguli wa kuzungumza kiswahilisi kweli, kiswahili ni kiarabu asilimia zaidi ya 60
Hapana hapana kabisa na nimeshakujibu kwanini ni hapana.kiswahili ni kiarabu, kiarabu ni lugha iliyojitosheleza na kama kuna maneno wamechkua kutoka lugha nyengine basi ni machache sana
Sasa wewe mwarabu kuna siku utakubali kwamba kiswahili sio kiarabu?Kwahiyo hupendi kuongea na mwarabu! Unaogopa nini Shekhe!?
لا مشاكل.
ابدن اسلان.Sasa wewe mwarabu kuna siku utakubali kwamba kiswahili sio kiarabu?
LOL lakini hata ujitoe muhanga hutobadili ukweli huo.ابدن اسلان.
Abadan Asilani!!
Tatizo mmetingwa na fikra finyu na mitanziko kwenye ubongo zenu!! Unafahamu maana ya kujitoa muhanga?LOL lakini hata ujitoe muhanga hutobadili ukweli huo.
Ndio na ndio maana hata sentence patterns za kiswahili na kiarabu ni tofauti, mnaanza kutoka mwisho kuja mwanzo, tunaanza kutoka mwanzo kwenda mwisho kimantikiTatizo mmetingwa na fikra finyu na mitanziko kwenye ubongo zenu!! Unafahamu maana ya kujitoa muhanga?
Hata mwalim anaefundisha somo lolote na kutumia hata muda wake na uwezo wake wote ili wanafunzi waelewe somo lake huyo amejitoa muhanga.[emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Maliza maneno yote ila hili limekuganda, mbona hujaweka kwenye correct manner kama kwenye English? Au hicho kiswahili na English vinaendana kimpangilio na kitafsiri?Ndio na ndio maana hata sentence patterns za kiswahili na kiarabu ni tofauti, mnaanza kutoka mwisho kuja mwanzo, tunaanza kutoka mwanzo kwenda mwisho kimantiki
Hili ni moja ya tofauti kubwa kabisa kati ya kibantu na kiarabu
View attachment 1620558View attachment 1620559
*Pia hujui kuwa Kiarabu kinasomwa kutoka kulia kwenda kushoto ndio maana. *Maliza maneno yote ila hili limekuganda, mbona hujaweka kwenye correct manner kama kwenye English? Au hicho kiswahili na English vinaendana kimpangilio na kitafsiri?
Pia hujui kuwa Kiarabu kinasomwa kutoka kulia kwenda kushoto ndio maana.
Kama ulikuwa hujui Kiarabu kinasomwa kutoka kulia kwenda kushoto:Ndio na ndio maana hata sentence patterns za kiswahili na kiarabu ni tofauti, mnaanza kutoka mwisho kuja mwanzo, tunaanza kutoka mwanzo kwenda mwisho kimantiki
Hili ni moja ya tofauti kubwa kabisa kati ya kibantu na kiarabu
View attachment 1620558View attachment 1620559
Hakuna maajabu ya Mussa wala chochote, hatuangalii muundo wa kimaandishi kinachoangaliwa ni tafsiri ya maneno. Hapa ndio ulipofika mwisho wa upeo wako wa kufikiria. Kama kiswahili ni kibantu, kumbuka kuna lugha za kibantu ambazo hata maneno yake huwezi kuyaandika kwa kutumia hicho kiswahili. Usione unajua bado sana. Tafuta elimu ndugu.*Pia hujui kuwa Kiarabu kinasomwa kutoka kulia kwenda kushoto ndio maana. *
Kwenye kibantu haya ni maajabu ya Musa!