Huku Zanzibar kuna mambo ya ajabu sana

Huku Zanzibar kuna mambo ya ajabu sana

Nilimsikia mtu akisema hawana makabila ila pia nilisikia history kwamba wote hao wametokea bara haswa Mtwara na Lindi lakini Ukiwasikia lugha wanayo ongea huko vijijini sio standard swahili kilichopo kwenye dictionary

Nipo interested kuwajua zaidi.
Hawana lugha za kikabila , bali wanazungumza lahaja za Kiswahili, Kusini ya Unguja kuna lahaja zake kama Kaskazini ,Kati mpaka mjini hamna lahaja (wanazungumza Kiswahili sanifu , kilichochaguliwa na kurasimishwa ni Kiunguja mjini, rudi kwenye história yake). Ukienda Pemba hali kadhalika wana lahaja zao ambapo Pemba Kusini kwa kiasi kikubwa Kiunguja kaskazini, kuna na Wakojani n.k.
Kiswahili kina lahaja kwa makisio ya haraka haraka 17 hivi, kutokea Somalia (Kibajuni na Kibarawa), pwani ya Kenya , pwani ya Tanzania na visiwa vilivyopo mpaka Msumbiji. Wengine husema Kingazija (Kikomoro) ni lahaja pia ya Kiswahili ila wengine husema si lahaja ya lugha tajwa.
 
Point yangu haina uzito ila tambua miongoni mwa lugha ambayo misamiati yake inatumiwa na lugha nyingine basi ni kiarabu, kwani kimejitosheleza na hakikopi misamiati kutoka kwenye lugha nyingine, isipokuwa hizo lugha nyingine ndio zinakopa kwa Kiarabu.
LOL kumbe muda wote nilikua na ongea na muarabu 😂😂😂

Okay nimeshakujua.
 
Wapo wa zanzibar wengi tu wana hilo tatizo, wengi tu nimewasikia.

mmmhhh zanzibar ya sasa sikatai, mchanganyiko ni mkubwa sana. wazanzibar halisi hasa sisi wa mjini tumebaki wachache tu, wengi wao wapo ulaya na nchi za uarabuni. Zanzibar mjini kwa sasa kuna wauza vinyago tu wachaga na wameru kibaooo. itakuwa hao ndio umewaskia Ally wanasema Arii
 
Kiswahili ni kibantu sababu moja kuu ni kwamba zaidi ya asilimia 90 ya msamiati wake ni kibantu

Baraza la Kiswahili Tanzania lenye mandatory na hii lugha na machapisho yote ya Utafiti kwa wasomi wa vyuo vikubwa duniani kama Oxford mpaka Mlimani wametoa conclusions kwamba kiswahili ni kibantu wewe ni nani unapinga?

si kweli, kiswahili ni kiarabu asilimia zaidi ya 60
 
Hawana lugha za kikabila , bali wanazungumza lahaja za Kiswahili, Kusini ya Unguja kuna lahaja zake kama Kaskazini ,Kati mpaka mjini hamna lahaja (wanazungumza Kiswahili sanifu , kilichochaguliwa na kurasimishwa ni Kiunguja mjini, rudi kwenye história yake). Ukienda Pemba hali kadhalika wana lahaja zao ambapo Pemba Kusini kwa kiasi kikubwa Kiunguja kaskazini, kuna na Wakojani n.k.
Kiswahili kina lahaja kwa makisio ya haraka haraka 17 hivi, kutokea Somalia (Kibajuni na Kibarawa), pwani ya Kenya , pwani ya Tanzania na visiwa vilivyopo mpaka Msumbiji. Wengine husema Kingazija (Kikomoro) ni lahaja pia ya Kiswahili ila wengine husema si lahaja ya lugha tajwa.
Ni kweli kabisa usemayo kiswahili kimesheheni lahaja zote za kibantu, kiswahili hakina mfanano typically kama lugha nyingine za French, German, English au Arabic

Kiswahili kina lahaja zaidi ya 20 na hiyo ndio sifa moja wapo kuu kukifanya kiswahili kibantu sababu inaakisi asili ya lugha za kibantu kuwa nyingi, kama Tanzania tulivyo na makabila mengi na kila moja lina lugha yake ndivyo inavyoakisi lahaja kedekede za kiswahili.
 
mmmhhh zanzibar ya sasa sikatai, mchanganyiko ni mkubwa sana. wazanzibar halisi hasa sisi wa mjini tumebaki wachache tu, wengi wao wapo ulaya na nchi za uarabuni. Zanzibar mjini kwa sasa kuna wauza vinyago tu wachaga na wameru kibaooo. itakuwa hao ndio umewaskia Ally wanasema Arii
Hakuna mchagga wala mmeru mwenye tatizo la R na L, wenye nayo nawajua,baadhi ya Wazanzibari wakiwamo
 
si kweli, kiswahili ni kiarabu asilimia zaidi ya 60
Hapana kabisa, sababu ingekua wote tunaweza kukisikia kiarabu naturally kwa kukiongea pia, ila sababu kiswahili sio kiarabu ndio maana hata wa Islam wengi hasa huku bara Hawajui Quran kabisa yaani ni kama kichina kwao japo ni manguli wa kuzungumza kiswahili
 
LOL lakini hata ujitoe muhanga hutobadili ukweli huo.
Tatizo mmetingwa na fikra finyu na mitanziko kwenye ubongo zenu!! Unafahamu maana ya kujitoa muhanga?
Hata mwalim anaefundisha somo lolote na kutumia hata muda wake na uwezo wake wote ili wanafunzi waelewe somo lake huyo amejitoa muhanga.[emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Ndio na ndio maana hata sentence patterns za kiswahili na kiarabu ni tofauti, mnaanza kutoka mwisho kuja mwanzo, tunaanza kutoka mwanzo kwenda mwisho kimantiki

Hili ni moja ya tofauti kubwa kabisa kati ya kibantu na kiarabu

phpMMRjxM.png
Examples-on-Arabic-Sentences.png
 
Ndio na ndio maana hata sentence patterns za kiswahili na kiarabu ni tofauti, mnaanza kutoka mwisho kuja mwanzo, tunaanza kutoka mwanzo kwenda mwisho kimantiki

Hili ni moja ya tofauti kubwa kabisa kati ya kibantu na kiarabu

View attachment 1620558View attachment 1620559
Maliza maneno yote ila hili limekuganda, mbona hujaweka kwenye correct manner kama kwenye English? Au hicho kiswahili na English vinaendana kimpangilio na kitafsiri?
Pia hujui kuwa Kiarabu kinasomwa kutoka kulia kwenda kushoto ndio maana.
 
*Pia hujui kuwa Kiarabu kinasomwa kutoka kulia kwenda kushoto ndio maana. *

Kwenye kibantu haya ni maajabu ya Musa!
 
Ndio na ndio maana hata sentence patterns za kiswahili na kiarabu ni tofauti, mnaanza kutoka mwisho kuja mwanzo, tunaanza kutoka mwanzo kwenda mwisho kimantiki

Hili ni moja ya tofauti kubwa kabisa kati ya kibantu na kiarabu

View attachment 1620558View attachment 1620559
Kama ulikuwa hujui Kiarabu kinasomwa kutoka kulia kwenda kushoto:
"الطالب يكتب على السبورة"

English inasomwa kutoka kulia kwenda kushoto:
"Student writes on the board"
Kiswahili kinasomwa kutoka kulia kwenda kushoto:
"Mwanafunzi anaandika kwenye ubao"
Mwanafunzi/ Students/ الطالب

Anaandika/writes/ يكتب

Kwenye ubao/ on the board/ على السبورة
 
*Pia hujui kuwa Kiarabu kinasomwa kutoka kulia kwenda kushoto ndio maana. *

Kwenye kibantu haya ni maajabu ya Musa!
Hakuna maajabu ya Mussa wala chochote, hatuangalii muundo wa kimaandishi kinachoangaliwa ni tafsiri ya maneno. Hapa ndio ulipofika mwisho wa upeo wako wa kufikiria. Kama kiswahili ni kibantu, kumbuka kuna lugha za kibantu ambazo hata maneno yake huwezi kuyaandika kwa kutumia hicho kiswahili. Usione unajua bado sana. Tafuta elimu ndugu.
 
Back
Top Bottom