round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 345
- 1,145
kampuni ya utengenezaji wa semiconductor ya Taiwan TSMC imetangaza kuwekeza dola bilioni 100 (shilingi trilioni 260) kujenga viwanda vya kutengeneza semiconductor nchini Marekani.
Taiwan imekuwa ikisaidiwa sana kwenye mambo ya Ulinzi na Marekani, Taiwan inajihami kwa kuhakikisha kuwa inabaki kuwa mshirika wa Marekani ili kusaidiwa mambo ya kiulinzi kwa kuchangia maendeleo ya Marekani.
Hakuna misaada mikubwa nchi inatoa bure bure, ni lazima nchi inayopata ijiongeze, Marekani anatoa misaada kupitia kodi za wananchi SIO BURE !! kwa kulitambua hili nchi nyingi zinazosaidiwa kiulinzi na Marekani huwa zinarudisha chochote, huu ndio uungwana.
Ni jambo la ajabu kuona Zelensky yeye anataka kupewa tu hataki vyake viguswe, things don't go like that.