Huku Zelensky akiendelea kukataa vyake visiguswe, Taiwan inayosaidiwa kiulinzi na Marekani imetangaza kuwekeza Trilioni 260

round kick

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2025
Posts
345
Reaction score
1,145
kampuni ya utengenezaji wa semiconductor ya Taiwan TSMC imetangaza kuwekeza dola bilioni 100 (shilingi trilioni 260) kujenga viwanda vya kutengeneza semiconductor nchini Marekani.

Taiwan imekuwa ikisaidiwa sana kwenye mambo ya Ulinzi na Marekani, Taiwan inajihami kwa kuhakikisha kuwa inabaki kuwa mshirika wa Marekani ili kusaidiwa mambo ya kiulinzi kwa kuchangia maendeleo ya Marekani.

Hakuna misaada mikubwa nchi inatoa bure bure, ni lazima nchi inayopata ijiongeze, Marekani anatoa misaada kupitia kodi za wananchi SIO BURE !! kwa kulitambua hili nchi nyingi zinazosaidiwa kiulinzi na Marekani huwa zinarudisha chochote, huu ndio uungwana.

Ni jambo la ajabu kuona Zelensky yeye anataka kupewa tu hataki vyake viguswe, things don't go like that.
 
kampuni ya utengenezaji wa semiconductor ya Taiwan TSMC imetangaza kuwekeza dola bilioni 100 (shilingi trilioni 260) kujenga viwanda vya kutengeneza semiconductor nchini Marekani.

Taiwan imekuwa ikisaidiwa sana kwenye mambo ya Ulinzi na Marekani, wanajua walichofanya kwa kuwekeza dola bilioni 100 ni kuendelea kuimaisha mahusiano ya kiulinzi.

Katika dunia hii hakuna misaada mikubwa nchi inatoa bure bure ni lazima ujiongeze, Marekani anatoa misaada kupitia kodi za wananchi SIO BURE !! kwa kulitambua hili nchi nyungi zinazosaidiwa kivita na Marekani huwa zinarudisha chochote.

Ni jambo la ajabu kuona Zelensky yeye anataka kupewa tu hataki vyake viguswe, things don't go like that.
Taiwan hawajawekeza TSMC marekani bali wanaiuza rasmi TSMC kwa marekani if you know you know.

Sasa hapa itajulikana nani mjinga kati ya Taiwan na Ukraine au wote wajinga.

Kama Taiwan wanauza kiwanda chao muhimu kwenda marekani ni kipi ambacho marekani atashawishika kuwalinda kama ukitokea mgogoro wao na China kwa sababu wanabakiwa hawana kitu chochote muhimu kwa marekani.

Mnufahika wa hili deal ni US sio Taiwan hata mnufahika mkubwa wa deal wa deal la Ukraine lazima atakuwa marekani.

Taiwan na Ukraine ni Pwagu na pwaguzi
 
Duh! Hizo ni SGR 26 just uwekezaji nchi ya kigeni! Kuna vinchi vina hela sio mchezo; halafu ni kisiwa tu. Tabora sijui kubwa mara ngapi than Taiwan!
 
Jua kutofautisha uwekezaji, mfano wa hapa Bongo, kampuni kubwa kama Unilever ina viwanda lakini haimaanishi wamiliki ni watanzania

Taiwan haijaiuza TSMC kwa Marekani. Kile ambacho kimefanyika ni kwamba TSMC inapanua uwekezaji wake Marekani kwa kujenga viwanda vipya, lakini kampuni inabaki kuwa ya Taiwan.

Taiwan inajihami kwa kuhakikisha kuwa inabaki kuwa mshirika wa Marekani ili kusaidiwa mambo ya kiulinzi kwa kuchangia maendeleo ya Marekani.

QUID PRO QUO,
 
Teknolojia ina pesa chafu sana,

Ndio maana Kagame kaanza kufocuss huko, Hatuwezi kuiona hatari leo lakini after 20 or 30 years
 
Ni muhimu kuzijua siasa zilizopo baina ya China mainland na Tawain China na U.S.A pamoja na TSMC katikati yao.

Moja ya hofu kubwa waliyo nayo Taiwan na Marekani juu ya uvamizi wa China ni TSMC kuanguka mikononi mwa China mainland.

TSMC kuhamishiwa Marekani haijaanza leo na ndio maana mpaka sasa Arizona unaendelea ujenzi wa TSMC marekani lengo ni kuhamishia kabisa uzalisha U.S.A

Taiwan hakutabaki kitu cha maana kuhusu TSMC enda kila kitu kikikamilika kuhusu uhamisho huo wa TSMC.

Na ndio maana Trump alitishia ushuru wa asilimia 100% kuhusu semiconductors Taiwan endapo watagomea uhamisho wa taarifa muhimu na teknolojia ndani ya TSMC kwenda kwa makampuni ya marekani kama Intel hiki unachoita wewe uwekezaji kwa sababu huzifuatilii kwa kina siasa zinazo endelea Taiwan.

Taiwan inachofanya sio uwekezaji bali ni uuzwaji rasmi wa TSMC kwenda marekani uliovalishwa koti la uwekezaji.

If you know you know
 
Jua kutofautisha uwekezaji, mfano wa hapa Bongo, kampuni kubwa kama Unilever ina viwanda lakini haimaanishi wamiliki ni watanzania

Taiwan haijaiuza TSMC kwa Marekani. Kile ambacho kimefanyika ni kwamba TSMC inapanua uwekezaji wake Marekani kwa kujenga viwanda vipya, lakini kampuni inabaki kuwa ya Taiwan.

Taiwan inajihami kwa kuhakikisha kuwa inabaki kuwa mshirika wa Marekani ili kusaidiwa mambo ya kiulinzi kwa kuchangia maendeleo ya Marekani.

QUID PRO QUO,
Taiwan sio mshirika wowote wa marekani hapo East Asia yaani Taiwan yeye ndie anajikomba komba komba kwa marekani.

Kabla ya 1979 angalau naweza kukuelewa kweli marekani angalau aliitilia maanani Taiwan dhidi ya uvamizi wa wakomunisti wa China maana hata mkataba wa kiulinzi marekani na Taiwan walikuwa nao ila sasa hivi Taiwan na Ukraine wote ni wale wale.

Washirika wa marekani huko East Asia ni Japan, South Korea
 
Teknolojia ina pesa chafu sana,

Ndio maana Kagame kaanza kufocuss huko, Hatuwezi kuiona hatari leo lakini after 20 or 30 years
Duh! Nchi iwekeze kwenye brains za watu wake! Mali asili without brains are nothing!
 
Hatuna akili? Au ni uwekezaji kwa watu unakosekana?
Uwekezaji wa hasara kuwekeza kwa watu wajinga.

Hao wachina wa Taiwan waliowekeza kwenye rasilimali watu sio wajinga kama sisi hao watu wa East Asia tuwaache tu.

Sisi tuwekeze kwenye ngoma na mapambio nafikiri tupo bora zaidi upande huu hatufanani na hao wachina
 
Ni muhimu kuzijua siasa zilizopo baina ya China mainland na Tawain China na U.S.A pamoja na TSMC katikati yao.

Moja ya hofu kubwa waliyo nayo Taiwan na Marekani juu ya uvamizi wa China ni TSMC kuanguka mikononi mwa China mainland.

TSMC kuhamishiwa Marekani haijaanza leo na ndio maana mpaka sasa Texas unaendelea ujenzi wa TSMC marekani lengo ni kuhamishia kabisa uzalisha U.S.A

Taiwan hakutabaki kitu cha maana kuhusu TSMC enda kila kitu kikikamilika kuhusu uhamisho huo wa TSMC.

Na ndio maana Trump alitishia ushuru wa asilimia 100% kuhusu semiconductors Taiwan endapo watagomea uhamisho wa taarifa muhimu na teknolojia ndani ya TSMC kwenda kwa makampuni ya marekani kama Intel hiki unachoita wewe uwekezaji kwa sababu huzifuatilii kwa kina siasa zinazo endelea Taiwan.

Taiwan inachofanya sio uwekezaji bali ni uuzwaji rasmi wa TSMC kwenda marekani uliovalishwa koti la uwekezaji.

If you know you know
Uwekezaji wa TSMC nchini Marekani si uuzaji bali ni strategic expansion ili kupunguza geopolitical risks kwa kuwa na viwanda vya ziada na kuimarisha supply chain resilience.

Taiwan bado inadhibiti Teknolojia ya juu jambo linaloifanya ibaki na umuhimu wa kutawala soko la semiconductor duniani.

viwanda vinavyopelekwa Marekani vinatengeneza semi conductor za kawaida, semi conductor bora zaidi zitaendelea kutengenezwa Taiwan pekee.

Kama ilivyo kwa Samsung na Toyota, uwekezaji nje ya nchi hauimaanishi ownership transfer. Hatua hii inalinda Taiwan’s economic security, technological sovereignty, na mahusiano yake na Marekani.

Mapato na controll ya Semi Conductors baada ya kodi hata kuwe na viwanda Tanzania bado yataendelea kuwa mali ya Taiwan,
 
Uwekezaji wa hasara kuwekeza kwa watu wajinga.

Hao wachina wa Taiwan waliowekeza kwenye rasilimali watu sio wajinga kama sisi hao watu wa East Asia tuwaache tu.

Sisi tuwekeze kwenye ngoma na mapambio nafikiri tupo bora zaidi upande huu hatufanani na hao wachina
Singeli sasa rasmi ni tunu ya taifa!
 
Uwekezaji wa TSMC nchini Marekani si uuzaji bali ni strategic expansion ili kupunguza geopolitical risks kwa kuwa na viwanda vya ziada na kuimarisha supply chain resilience.

Taiwan bado inadhibiti Teknolojia ya juu jambo linaloifanya ibaki na umuhimu wa kutawala soko la semiconductor duniani.

viwanda vinavyopelekwa Marekani vinatengeneza semi conductor za kawaida, semi conductor bora zaidi zitaendelea kutengenezwa Taiwan pekee.

Kama ilivyo kwa Samsung na Toyota, uwekezaji nje ya nchi hauimaanishi ownership transfer. Hatua hii inalinda Taiwan’s economic security, technological sovereignty, na mahusiano yake na Marekani.

Mapato na controll ya Semi Conductors baada ya kodi hata kuwe na viwanda Tanzania bado yataendelea kuwa mali ya Taiwan,

Taiwan hawajawekeza TSMC marekani bali wanaiuza rasmi TSMC kwa marekani if you know you know.

Sasa hapa itajulikana nani mjinga kati ya Taiwan na Ukraine au wote wajinga.

Kama Taiwan wanauza kiwanda chao muhimu kwenda marekani ni kipi ambacho marekani atashawishika kuwalinda kama ukitokea mgogoro wao na China kwa sababu wanabakiwa hawana kitu chochote muhimu kwa marekani.

Mnufahika wa hili deal ni US sio Taiwan hata mnufahika mkubwa wa deal wa deal la Ukraine lazima atakuwa marekani.

Taiwan na Ukraine ni Pwagu na pwaguzi
Taiwan hawauzi kiwanda chao, hawauzi TCMC, ni makubaliano , concern ya america if china waki overun taiwan kwenye vita? Watapata wapi similar product?
America anawaza chines wasije take over wakat taiwan anawaza kuokoa brand kwa gharama yoyote haswa wakati huu wako under threat kutoka china
 
Back
Top Bottom