Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
😤😤😤😤Chini ya UTAWALA dhalimu wa CCM, haki mtaisikia redioni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😤😤😤😤Chini ya UTAWALA dhalimu wa CCM, haki mtaisikia redioni.
DPP gani unayemzungumzia?Yapo Mambo kimfumo yanaleta ukakasi hasa namna serikali inavyoendesha mihimili mingine...
Bunge na mahakama TZ awamu ya 5 ni hovyooo na kichefuchefu. Spika ndiyo kabisa hatufai.Upo mhimili mmoja mkuu ndio huamua yote.
Conviction na judgement!! 😳😳 makubwa haya. Halafu ni kesi ya ardhi sasaAcha kupotosha umma, conviction hufuatiwa na judgement.
It's a lawless country. Gangster republic!Yapo Mambo kimfumo yanaleta ukakasi hasa namna serikali inavyoendesha mihimili mingine...
Kesi ya ardhi? OkConviction na judgement!! 😳😳 makubwa haya. Halafu ni kesi ya ardhi sasa
Ok, kama ni ishu ambayo haihusu conviction or crime,Dpp alienda fanya nini? Akili za kukariri changanya na zako.Conviction na judgement!! 😳😳 makubwa haya. Halafu ni kesi ya ardhi sasa
Kila nikimuangalia huyu CJ wa sasa nasikitika sanaa.Hatari sana nchi hii
Una uhakika na unayoandika hapa mkuu?Ok, kama ni ishu ambayo haihusu conviction or crime,Dpp alienda fanya nini? Akili za kukariri changanya na zako.
Huyu jamaa ni mwehu anakurupuka anaandika vitu inawezekana anafahamu ukweli ila anajitoa ufahamu kutokana na njaa zake, ni mpuudhi na mshenzi flani ivi watu kama awa wanatakiwa kuuliwa kwa kupigwa na kombora hadarani ni maadui wa Taifa letu.Una uhakika na unayoandika hapa mkuu?
Hatuna mahakama tena Mganga ndiyo kila kituYapo Mambo kimfumo yanaleta ukakasi hasa namna serikali inavyoendesha mihimili mingine...
Kweli ni mali ya CCM 100%Hahaha mnapoambiwa ni serikali ya ccm huwa mnaelewaje?!
Nimemaliza. Chini ya UTAWALA dhalimu wa CCM, haki mtaisikia redioni.
Wewe unaejua Sheria nitajie ni kifungu kipi katika CPA kinaelezea utaratibu huoTatizo lako hujui sheria! Kwani ni kosa mtuhumiwa akiamua kulipa na akafika mahakamani akakubali charges then Hakimu akatoa hukumu? Huo ni utaratibu wa kawaida kwa kesi za aina hiyo.