Hukumu Kesi ya Kikatiba ya Jamii Media: Mahakama yakiri Sheria Makosa ya Mitandao inahitaji kanuni

Hukumu Kesi ya Kikatiba ya Jamii Media: Mahakama yakiri Sheria Makosa ya Mitandao inahitaji kanuni

Hapa lazima ipindishwe sheria. Viongozi wa idara za serikali wanaogopa sana miungu watu kuliko mungu wa kweli, aliyeumba mbingu na dunia.
 
Kaimu Jaji ana wakati mgumu sana!! Akiwa na msimamo thabiti namuona akiingia kwenye historia ya Majaji Wakuu waliodumu kwa muda mfupi zaidi...

Msimamo wake wa kusimamia sheria.....ndio utaomfanya aingie kwenye historia iliyotukuka kwenye kusimamia haki!!!

Tusubiri ni suala la muda

Mimi naona suala la ID tunazotumia humu JF litapatiwa ufumbuzi ...tusubiri tuone
 
Back
Top Bottom