Sosthenes Maendeleo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 2,724
- 1,693
Sipati picha, kwa mfano wakaishinda jamii media watahamia wapi? Ooh no to happen this!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wito wa mahakama katika kesi za madai na za jinai kuna tofauti kubwa sana.Kila la kheri. Binafsi kufuatia Makonda na wenzie kugomea wito wa mahakama, sina imani tena kama mahakama ina ubavu wa kusimamia haki dhidi ya wale wanaotimiza amri na matakwa ya watawala.
Wito wa mahakama katika kesi za madai na za jinai kuna tofauti kubwa sana.
Kwahiyo mahakama ikitoa wito wa kesi ya madai basi mtu yeyote anaweza kuukata? kama sio kuidharau mahakana ni nini?Wito wa mahakama katika kesi za madai na za jinai kuna tofauti kubwa sana.
Mungu atawasaidia Jamiiforums.
Mafaili yalipotea etiayaaaa 😵 file lilipatikana ?