Hukumu Kesi ya Kikatiba ya Jamii Media: Mahakama yakiri Sheria Makosa ya Mitandao inahitaji kanuni

Hapa lazima ipindishwe sheria. Viongozi wa idara za serikali wanaogopa sana miungu watu kuliko mungu wa kweli, aliyeumba mbingu na dunia.
 
Muhimili wa mahakama msituangushe Siku ya kesho tunawategemea
 

Mimi naona suala la ID tunazotumia humu JF litapatiwa ufumbuzi ...tusubiri tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…