Mashariti ya kifungo cha nje ni kama ifuatavyo
a) kwanza atatakiwa kuripoti kila siku asubuhi saa kumi na mbili, mahakamani ambako atapangiwa shughuri za kijamii kama kufagia, kulimia bustani za mahakama au kufanya usafi kwenye mahospitali, watakuwa wanamuachia saa nne asubuhi.
b) hatotakiwa kujihusisha na jambo lolote la uvunjifu wa sheria, akithubutu tu kifungo kinabadilika nakuwa cha ndani, kwahiyo yale mambo yakuongoza maandamano yasiyo na kibari ndiyo asahau tena,
b)atatakiwa kuonyesha kwamba tabia yake inabadirika na kuwa raia mwema