Lema Kesi ya Uchochezi alipewa dhamana,mbona Ponda hapewi kesi hiyo hiyo?Huu ni uonevu na double standard
Lema Kesi ya Uchochezi alipewa dhamana,mbona Ponda hapewi kesi hiyo hiyo?Huu ni uonevu na double standard
Ni zamfumo cristovao ambazo zenyewe zinalenga kumkomoa nakumkandamiza muislam. Lakini hii yote ni ktk kufikia malengo ya wachache wanaotamani kuona sikumoja TZ tuna mwagana dam, na inshaallhah siku hizo zina hesabika.>Usanii wa namna hii ndio utakao tupeleka pabaya.
Hivi sheria wanazo zitumia ni za nchi gani?
Sijaelewa kwanini watu wanamuonea huruma muhalifu simply because ni shekhe!hata kama ni mchungaji au padre kafanya the same achukuliwe hatua ...
Ni matumaini yetu kuwa haki itatendeka ikizingatiwa kuwa ponda ni kiongozi wa kidini mwenye wafuasi hata kama wana imani kali.
kaka hapa hujaenda sawa kimaoni unajishushia baada ya kukuona kama mtu mwenye kahekima kwa kiindi sasa, how can u mix jambo linalojulikana chanzo tena la kichama na suala hili la uchochezi wa kidini?
unafahamu mashitaka aliyonayo ponda zaidi ya hilo la uchochezi? umesahau vurugu za uchomaji makanisa au ulifurahia? umenishtua kidogo na comment yako!
ponda sio kiongozi ni mwanaharakati
anajuhudi kubwa lakin hana maarifa
nawasihi waislamu wenzangu kutumia busara ktk migogoro
na sio kukurupuka
Waislam wakisema kuwa kuna hujma na dhulma inafanyika dhidi yao kuna watu humu ndani wanawaona kama majuha! Kosa la Shikh Ponda ni nini? waislam kutumia kiwanja chao kuanzisha miradi yao ya maendeleo? Kwanin serikali inawalazimishia Waislam BAKWATA?... Haki ya mtu huwa haipotei hata siku moja...ipo siku wale wote wenye kuwadhalilisha umma wa kiislam na wao watadhalilishwa kwa nguvu ile ile ama zaidi...Lema Kesi ya Uchochezi alipewa dhamana,mbona Ponda hapewi kesi hiyo hiyo?Huu ni uonevu na double standard
Leo ndio tarehe iliyopangwa kusikilizwa kwa kesi ya katibu wa Jumuiya na mihadhara ya kiislam sheikh Issa Ponda baada ya kuhairishwa kwa jaji kutofika mahakamani.
Swali la msingi kama wafuasi wake wamefungwa miaka kadhaa jela je huyu kiongozi atasalimika?
Updates:
Ulinzi imeimalishwa mtaa wote naona askari kanzu ndio wengi na wale wa FFU kama vile wanaenda vitani
kaka hapa hujaenda sawa kimaoni unajishushia baada ya kukuona kama mtu mwenye kahekima kwa kiindi sasa, how can u mix jambo linalojulikana chanzo tena la kichama na suala hili la uchochezi wa kidini?
unafahamu mashitaka aliyonayo ponda zaidi ya hilo la uchochezi? umesahau vurugu za uchomaji makanisa au ulifurahia? umenishtua kidogo na comment yako!
Waislam wakisema kuwa kuna hujma na dhulma inafanyika dhidi yao kuna watu humu ndani wanawaona kama majuha! Kosa la Shikh Ponda ni nini? waislam kutumia kiwanja chao kuanzisha miradi yao ya maendeleo? Kwanin serikali inawalazimishia Waislam BAKWATA?... Haki ya mtu huwa haipotei hata siku moja...ipo siku wale wote wenye kuwadhalilisha umma wa kiislam na wao watadhalilishwa kwa nguvu ile ile ama zaidi...