Hukumu Kesi ya Ponda, ahukumiwa kifungo cha mwaka mmoja nje

Status
Not open for further replies.
Alikuwa na hati ya hicho kiwanja ? Nondo za wenyewe mlipeleka wapi?

OOh so wewe ulikuwa umeweka nondo kwa makubaliano na BAKWATA? Hati inaonesha kuwa mali ya waislam, sasa ninyi waanglikana mmetoka wapi mkaanza kuweka nondo?... Kwanini mnashikiza afungwe huku mkijitahidi kumbambikia kesi nyingine ya uchomaji makanisa?... Mmekosa utu kiasi hicho enyi Waanglikana?...ooh sorry nilisahau kuwa BAKWATA na CCT ni sehemu ya Mfumo ....
 

Sawa shehe Illunga, tumekusikia. Mjinga akikuambia kitu cha kijinga nawe ukakikubali basi unakuwa mjinga mara 2 yake. Punguza povu subiri hukumu. Ule ni uvamizi na ni wizi haya mengine unayajuwa wewe.
 
kama Ponda atafungwa kaburi la ccm litakuwa linamaliziwa koleo la mwisho kutoa udongo,ikisubiriwa maiti ya ccm iteremshwe kaburini
 
Hao ndio wamarekani bwana!
 
Watu kama Sheikh Ilunga, Sheikh Ponda wamejitokeza baada ya ukandamizwaji wa haki za baadhi ya waislamu, kumekuwepo na minung'uniko dhidi ya BAKWATA, kwa usalama wa nchi yetu isiyo na dini, ishughulikie maswala ya waislamu kwa kuzingatia na kuheshimu katiba ya JMT

Hekima ikitumika swala la Sheikh Ponda sio kubwa kuliko suala la ufisadi (Mbona mafisadi waliambiwa warudishe Pesa bila kushitakiwa?)
Mimi ni mkristo na nawapenda watu wote, NAIPENDA TANZANIA YA AMANI
 
Nadhani apewe haki yake kama ni kunyongwa anyongwe tu na kama ni kuachiwa huru aachiwe lakini lazima HAKI itendeke.
 
zimebaki siku 800 chadema tuingia magogoni

Binafsi natamani hili litokee maana nimeshachoshwa na mazingaobwe ya ccm lakini nawashauri wanazi wa Cdm hasa humu jamvini wabadirike, hii mitazamo yao ya chuki juu ya uislam itakipotezea chama kura nyingi sana, unless watuambie kuwa hawana shida na kura za waislam kama JK alivyodai hana shida na kura za wafanyakazi mbayuwayu.
 
anaenda Jela miaka mitano akitoka anakuta CHADEMA tumeichukua magogoni!!
Kwani Ponda ndiyo anazuia chadema tusiende magogoni? acha kupotosha umma na kujidai mwanachadema mavi pumbavu zako...chadema tunataka haki bila kujali dini wala kabila, ugaidi wa ponda uko wapi? au kila anaisumbua serikali ya ccm akiitwa gaidi tukubaliane..
 
Ni zamfumo cristovao ambazo zenyewe zinalenga kumkomoa nakumkandamiza muislam. Lakini hii yote ni ktk kufikia malengo ya wachache wanaotamani kuona sikumoja TZ tuna mwagana dam, na inshaallhah siku hizo zina hesabika.
hilo ndilo linalotakiwa watu wafahamu na wkifahamu kwa ufasaha wake ccm kwaheri
 
Sawa shehe Illunga, tumekusikia. Mjinga akikuambia kitu cha kijinga nawe ukakikubali basi unakuwa mjinga mara 2 yake. Punguza povu subiri hukumu. Ule ni uvamizi na ni wizi haya mengine unayajuwa wewe.
Kwakuwa umezaliwa Kirua na kukuta kanisa kubwa la Katoliki lisikufanye ukawa na upogo wa dini Mkuu, kule kuliko anzia hayo maparokia siku hizi hayapo tena, Roles mission za kanisa zilishabadilika siku nyingi sana, waliitumia kutafuta makoloni, baadae wakaitumia kanisa kutawala nchi mbali mbali kwa interest zao na sasa waitumia kunyonya rasilimali zetu tena kwa mbinu haramu za kutugawa!

Toka lini mtu ukashitakiwa kwa kuvamia mali yako kisha ukanyimwa dhamana?... siombe mabaya ndani ya nchi yangu lakini hili mimi nalichukulia kama provocative move yenye lengo la kuamsha hasira za waislam ili tuendelee kutengana...

If only you can read between the lines ndo utaweza kunielewa... Punguza udini uliokujaa wewe Mkirua...
 
leo ponda wanamuachia huru au wanampunguzia mashitaka, maana mahakama siku hizi ni kubalance mambo, tayari kafumu naye karudishiwa ubunge kama sumbawanga....
 
La ugaidi kwa kweli ni uonevu labda la kuvamia kiwanja na kupora....
polisi wetu lazima wabambikeze kesi, ila kwa kuwa ni hila itakuja kula kwao maana hakuna hila isiyofahamika hapa nchini japokuwa baadhi ya watu hawataki kusema ukweli
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…