Hukumu Kesi ya Ponda, ahukumiwa kifungo cha mwaka mmoja nje

Status
Not open for further replies.
Swala la shekh Ponda sio la uisla na ukristo jaman, swala la s.ponda ni kutetea maslahi ya waislam ndani ya uislam ni mtamozamo wangu swala lake limekuwa gumu kwa kuwa ni samaki mdogo anaetaka kumeza samaki mkubwa. Hapo si ufisadi, si udini bala ni haki ja jamii moja anayoamin yeye inaonewa na ndio chanzo cha yote hayo. Lkn mkianza sijui fisadi hajafungwa? Sijui gaidi ameachiwa sijui lema kafanya nn havisaidii, mahakama inahukumu kutokana na sheria na uzoefu na busara kwa inajua itakachofanya. Cha msingi tuiachie mahakama, na tumuombee mwenzetu heri asifungwe ni hayo tu.
 
Tunataka updates acheni longolongo!
 
Ponda anashtakiwa kwa sababu anapingana na vibaraka wa CCM{BAKWATA} Ambao ndio kikwazo kikubwa kwa maendeleo ya waislamu wa Tanzania.. BAKWATA inashirikiana na CCM kumpoteza Ponda ili waendelee kuhujumu mali za waislamu.
 
Ndugu usiseme wakristo ni wakoloni wa waislamu, hapo utakuwa unakosea, kutumia makandamizo yaliyotokea kwa baadhi ya waislamu isiwe ni chanzo cha fikra yako, kufanya hivyo ni chanzo kingine cha kutofikia muafaka wa maswala kereketwa kwa waislamu (au baadhi ya waislamu)
Utakubaliana nami kuwa kuna baadhi waislamu wanaoishi maisha mema (yasiyo na bughudha) kama vile ilivyo kwa baadhi ya wakristo au baadhi ya watu kutoka tabaka jingine.

Hivi karibuni nimekuwa mfuatiliaji wa masuala ya dini, haswa kusikiliza upande wa waislamu (malalamiko ya video kutoka kwa baadhi ya masheikh) maana huu ni wajibu wa kila raia mwema. Mimi nawapenda waislamu sawa na navyowapenda wakristo wenzangu, Tanzania ni yetu sote bila kujali dini, itikadi, kabila, ukanda, jinsia na tabaka lolote lile, katika hayo masikilizo nimekubali kuwa kuna baadhi ya waislamu walinyanyaswa kutokana na dini yao na hii ni uvunjifu wa katiba (naomba nikiri sijasikiza upande wa pili). Serikali inahitaji kutolea majibu (tafadhali si majibu mepesi)

Utakuabliana nami kuwa suala la Sheikh Ponda ni la kihistoria, na lahitaji hekima katika kulitatua ambayo naamini litawezekana nje ya mahakama. Sababu sheria haingalii kama Ponda anawakilisha watu ambao wanahisia za uonevu bali inaangilia vifungu vinazungumza nini kuhusu suala linalomkabili. Rais ameshakutana na upande wa wakristo, upande wa waislamu utakapofika moja ya agenda iwe suala la Sheikh Ponda hapa ndo mwanzo wa kuanza kulizungumza nje ya mahakama, wawakilishi wa waislamu wasiwe BAKWATA tu bali wale wanaolalamika napenda na Sheikh Ilunga awe mmojawapo

Hitimisho waislamu wa Tanzania waendeleze mapenzi kwa nchi yao hivyo hivyo kwa tabaka lolote lile, tukitumia hekima tutapata majawabu sahihi, kuliko jazba, chuki, na kuendekeza udini

Wenu mpenzi wa nchi ya Tanzania
 
Mdini ni wewe ambaye uko busy na makanisa na parokia...mimi siko huko nimekuuliza Ponda ana hati ya hicho kiwanja?
Jibu ni jepesi tu ndiyo au hapana. Pili Nondo za wenyewe mlipeleka wapi? Haya mengine tusubirie hukumu ila hoja mbili hizo zinahitaji majibu murua.

Issue ya kunyimwa dhamana ilikuwa ni muhimu kwasababu hana kazi aliyokuwa akiifanya mbali na uchochezi na maandamano yasiyo na kichwa wala miguu...Angalau tulipumua na kufanya kazi zetu kwa A mani maeneo ya Kariakoo kila ijumaa.
 
Ponda anashtakiwa kwa sababu anapingana na vibaraka wa CCM{BAKWATA} Ambao ndio kikwazo kikubwa kwa maendeleo ya waislamu wa Tanzania.. BAKWATA inashirikiana na CCM kumpoteza Ponda ili waendelee kuhujumu mali za waislamu...
 
Ndugu usiseme wakristo ni wakoloni wa waislamu, hapo utakuwa unakosea, kutumia makandamizo yaliyotokea kwa baadhi ya waislamu isiwe ni chanzo cha fikra yako, kufanya hivyo ni chanzo kingine cha kutofikia muafaka wa maswala kereketwa kwa waislamu (au baadhi ya waislamu)
Utakubaliana nami kuwa kuna baadhi waislamu wanaoishi maisha mema (yasiyo na bughudha) kama vile ilivyo kwa baadhi ya wakristo au baadhi ya watu kutoka tabaka jingine.

Hivi karibuni nimekuwa mfuatiliaji wa masuala ya dini, haswa kusikiliza upande wa waislamu (malalamiko ya video kutoka kwa baadhi ya masheikh) maana huu ni wajibu wa kila raia mwema. Mimi nawapenda waislamu sawa na navyowapenda wakristo wenzangu, Tanzania ni yetu sote bila kujali dini, itikadi, kabila, ukanda, jinsia na tabaka lolote lile, katika hayo masikilizo nimekubali kuwa kuna baadhi ya waislamu walinyanyaswa kutokana na dini yao na hii ni uvunjifu wa katiba (naomba nikiri sijasikiza upande wa pili). Serikali inahitaji kutolea majibu (tafadhali si majibu mepesi)

Utakuabliana nami kuwa suala la Sheikh Ponda ni la kihistoria, na lahitaji hekima katika kulitatua ambayo naamini litawezekana nje ya mahakama. Sababu sheria haingalii kama Ponda anawakilisha watu ambao wanahisia za uonevu bali inaangilia vifungu vinazungumza nini kuhusu suala linalomkabili. Rais ameshakutana na upande wa wakristo, upande wa waislamu utakapofika moja ya agenda iwe suala la Sheikh Ponda hapa ndo mwanzo wa kuanza kulizungumza nje ya mahakama, wawakilishi wa waislamu wasiwe BAKWATA tu bali wale wanaolalamika napenda na Sheikh Ilunga awe mmojawapo

Hitimisho waislamu wa Tanzania waendeleze mapenzi kwa nchi yao hivyo hivyo kwa tabaka lolote lile, tukitumia hekima tutapata majawabu sahihi, kuliko jazba, chuki, na kuendekeza udini

Wenu mpenzi wa nchi ya Tanzania
 
Ponda ponda ponda ponda na wengine wa aina yako mliokatika giza la dhulma kuweni wenye subira kwa lolote litakalo na yaliokupateni m/mungu yuko pamoja na wenye kusubiri. Kumbuka kina mama yake yaasir aliuwawa mbele ya mtoto wake kwa kuchomwa mkuki sehemu ya siri na baba nae akauliwa akiwa ametoa macho 7bu tu wamemuamini muhammad s.a.w.

Ujumbe kutoka kwa mtume s.a.w ulikuwa "subirini enyi watu wa yaasir hakika malipo yenu ni janna".
 
Mahakama za Tz zinaongozwa kwa remote control aina ya MEMO kwa nini Iddi Simba muhujumu uchumi yupo nje kwa dhamana wakati kesi yake haina dhamana kwa mujibu wa katiba? Hakuna haki yoyote hapo tusubiri kuona maagizo ya magogoni yanasemaje. Ili kuwafariji wakristo kwa tukio la Arusha Ponda hawezi kusalimika ili waonekane awana upemdeleo kwa viongozi wa dini.
 
nakubaliana na hoja yako 100% kwani baadhi ya wanachama wa chedema sio viongozi wana chukulia kwamba waislam ni maadui wa chama chao na wanasema kwamba serikali ya ccm inawapendelea waislam. hilo sio kweli ila kuna mchezo unaofanywa na watu kwamba chadema ionekane kwamba,ni chama cha wakristo na ccm ionekane kwamba ni chama cha waislam na wakristo wachache. ninachosifia ni kuona viongozi wa chadema hilo wanalielewa vyema na ndio maana hawazungumzii lolote kuhusu udini,wamesimamia kwenye ufisandi na mustakabali wa taifa.
 
Lema Kesi ya Uchochezi alipewa dhamana,mbona Ponda hapewi kesi hiyo hiyo?Huu ni uonevu na double standard

kamuwekee dhamana wewe basi mbona unaongea kwa mbali sana wala hujajitokeza kwenda kumdhamini

Lema anadhaminika hebu kamdhamini Ponda uone kama hutaachiwa vumbi halafu ukafungwe wewe kiherere
 
Wamfunge miaka mingi ndo huyu bingwa wa kueneza udini

Kwa nini unamsemea maneno hayo Sheikh Ponda!! Amini, amini nakuambieni, muda waja, muda teule, muda wa wale waanzilishi wakuu wa udini kuadhibiwa na Mungu.
 
BAKWATA msijidanganye kumfunga Sheikh Ponda ndiyo kuendelea na dhulma yenu kwenye mali za waislamu na ndiyo mwanzo wa kuwatumikia viongozi wenu MAGAMBA bila wasiwasi!! Nawahakikishieni kuwa siku zenu zinahesabika laanakum nyie!!!
 
kumkandamiza mtu yeyote kwa sababu ya dini yake ni upuzi na kumtetea muhalifu yeyote kwasababu tu eti ni wa dini yako ni upuuzi pia.Nawashangaa sana watu wanaotaka eti Ponda asifungwe kwa kuwa ni muislam na wale wanaotaka ponda afungwe kwa sababu ni muislam.Huu wote ni ujinga usiovumilika.Ponda atahukumiwa kwa yale iliyoyatanguliza mikono yake mwenyewe, kulingana na ushahidi.Kadhalika mtuhumiwa mwengine yeyote atahukumiwa vivyo hivyo. Je anayedhani ni sahihi kumtetea mtu kwa hoja ya dini yake , haoni kwamba kwa kuwa wahalifu karibu wote kila mtu ana dini yake hatimae kila muhalifu akikamatwa badala ya kuangalia kosa lake watu watakimbilia kuangalia dini yake na ikitokea wa dini fulani; basi watu wa dini hiyo wanaenda kumtetea eti kwa kuwa ni muumini mwenzao. Hivi hii akili eee!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…