Hukumu Kesi ya Ponda, ahukumiwa kifungo cha mwaka mmoja nje

Status
Not open for further replies.
Ponda ametiwa hatiani kwa kosa moja ambalo hakimu amempa conditional kifungu 2yrs... Nje akifanya kosa hilo tena ataibeba original penalty ....
 
Kifungo cha mwaka moja nje asirudie kosa hilo...
 
Ndugu nofal tatizo la waislam nchi hii sio wakristo, uking'ang'ania ktk mawazo hayo hamtojikombea mkuu wangu, mimi sio muislam lakini nakuakikishia marafiki zangu wengi nilionao ni waislam, na hata ofisini kwangu secretary wangu ni muislam (AMINA) kila saa 7 kasoro anafunga ofisi anaenda kusali, na ninaeshimu imani yake na yeye ninamueshimu sana.
Tatizo la waislamu nchii hii ni BAKWATA, hili ndilo tatizo ndugu yangu, hawa jamaa ndio wanawafitinisha na kuwagawa, kwanza wameuza maeneo yenu yote, jipangeni muwang'oe hawa kina Sheikh Simba japo ni ngumu, wamejiimarisha serikalini hawa na ndio viongozi wa ccm hawa
 
Last edited by a moderator:

Labda kusaidia tu... Kosa la ponda ni bailable offence ndio. Sema mahakama inadiscretion ya kutokuitoa kama kunauweka wa mtuhumiwa kusababisha au kuchochea vurugu... Na kunasababu nyingine nyingi tu. I think that is why hakupata dhamana.
 

Mimi sihitaji heshima toka kwa m puuzi so hata usiponiheshimu poa tu kwakuwa uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sina haja ya kuheshimiwa nawe na wenye mawazo mgando ya kuonewa, kupuuzwa na kunyanyaswa kusiko na uhalisia wala mashiko kama wewe. Kwamba Ponda alishtakiwa kwa ugaidi hayo unayajuwa wewe.

Kwa kifupi swali langu ambalo hujalijibu na huwezi kulijibu wewe na wakurupukaji wenzio kina Crashwise ni hili...Hao wanaodai ni kiwanja chao (Ponda na wenzake) je, wana hati inayohalalisha umiliki wao? Pili, kama walivamiwa walikuwa na uhalali wa kuiba na kuharibu mali za watu?

La huyu Barubaru kama anadhani ule ni mgogoro wa ardhi basi asubirie kesi nyingine ya mgogoro wa ardhi. Hii iliyofunguliwa ni uvamizi na uharibifu wa mali.


Mimi niko kwenye Msingi wa Kesi wewe uko busy na madai ya waislamu na bado unadhani wewe ni Great Thinker!
 
Last edited by a moderator:
wenye kujua movie ya "ponda vs bakwata" tulijua tu mapema kuwa watatoa hukumu ya kuzima moto......

hata hiyo adhabu. Alopewa ni kubwa sana...sidhani kama mshitaki alijenga kesi ya maana dhidi ponda and team...tatizo media ziliipa uzito sana kesi hii wakati. Washitaki hawakuwa na shitaka la uzito huo kiushahidi...mahakama imejitahidi sana ....jamii ijichunguze kulikoni hasa?
 
mahakama kuu imemhukumu ponda kifungo cha mwaka mmoja na wenzake wameachiwa huru
 
Makahama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar Es Salaam,imemfunga kifungo cha nje cha mwaka mmoja katibu wa Jumuiya na Taasisi za KiislamTanzania Shekhe Ponda Issa Ponda,huku washtakiwa wengine wote 49 wakiachiwa huru
source ITV
 
tulijua tu! kwani walifanya kosa gani hadi wafungwe gerezani na serikali ya awamu hii ya nne?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…