Hukumu Kesi ya Ponda, ahukumiwa kifungo cha mwaka mmoja nje

Hukumu Kesi ya Ponda, ahukumiwa kifungo cha mwaka mmoja nje

Status
Not open for further replies.
Mi namuombea ashinde tu ili amani idumu.. Kuna wafuasi wake huku mtaani wanasubri hukumu tu kwamba akifungwa eti wanageuka BOKO HARAM... Jamani WAKRISTO tuimarishe ulinzi nyumba za ibada..

Post za woga namna hii huwa sipendi hata kuziona, inaonyesha jinsi gani ulivyo mwoga, wewe ni mwanaume au mwanamke?
 
Nimepita ktk mahakama ya
kisutu leo nimeona waislamu kibao wamekaa nje ya uzio wa mahakama
wakisubiri kusomwa kwa hukumu ya kiongozi wao huyo huku kukiwa na police
wa usalama wakiwa washajipanga. Mliopo eneo la tukio mtupatie up
date
leo ushind wakwetu lazma hak isimame
 
Lema Kesi ya Uchochezi alipewa dhamana,mbona Ponda hapewi kesi hiyo hiyo?Huu ni uonevu na double standard

Lema mwenyewe kalizungumzia hilo kama uonevu;
"Kesi ya Sheikh Ponda ni kesi yenye dhamana lakini kwa hujuma za DPP Ponda kanyima dhamana; hii si haki!", alisema Lema kwenye mkutano wa hadhara jijini Arusha siku chache baada ya yeye (Lema) kuachiwa kwa dhamana kwa shitaka la uchochezi!
 
Kesi ya Idi Simba ni shitaka lisilo na dhamana lakini kwa unyenyekevu wa hakimu amewaomba washitakiwa wachague kuendelea na wadhamini wa mwanzo au walete wapya.
 
Sijaelewa kwanini watu wanamuonea huruma muhalifu simply because ni shekhe!hata kama ni mchungaji au padre kafanya the same achukuliwe hatua ...
 
BAKWATA ni chombo kinachoitumikia ccm, kuachiwa kwa Sheikh Ponda ni pigo kubwa sana kwa magamba ndiyo maana wanamsumbua!Lakini siku zote mwisho wa dhuruma huwa ni aibu. Watu wameshaamka kipindi hiki mikakati yenu yote magamba inafahamika.Shame on you all!!
 
Afungwe miaka mingi tu ili akitoka arudishwe kwao Iraq akaendeleze huo ujinga wake maana huko ndiko watu wanapenda hayo anayo yataka yeye mdini mkubwa huyo Mungu atamshugulikia.
 
Nimepita mitaa ya maktaba complex nimewakuta wafuasi wa ponda,nimegwaya kupiga picha,hawatabiriki wale hawakawii kunivunjia kitochi changu
 
Lema Kesi ya Uchochezi alipewa dhamana,mbona Ponda hapewi kesi hiyo hiyo?Huu ni uonevu na double standard

ben saanane naomba hizi thread za kesi za kidini usiwe unaingilia maana utapoteza ile sifa ya ukamanda ndugu yangu. Tukae pembeni tu
 
ben saanane naomba hizi thread za kesi za kidini usiwe unaingilia maana utapoteza ile sifa ya ukamanda ndugu yangu. Tukae pembeni tu

Kwa nini akae pembeni? Panapokuwa na uonevu usiogope kusema!
 
Ponda Issa Ponda leo lazima akione cha mtema kuni!

Mimi nadhani aachiwe huru tu, maana nasikia alikuwa hana nia mbaya na makanisa na mnunuzi wa kiwanja ila yeye alikuwa anatekeleza IBADA si unajua hata kujitoa MUHANGA ilimradi unafanya hivyo kwa mgongo wa kiimani nasikia kwao ni THAWABU?
 
ben saanane naomba hizi thread za kesi za kidini usiwe unaingilia maana utapoteza ile sifa ya ukamanda ndugu yangu. Tukae pembeni tu

Kwanini akae kimya,kwasababu katofautiana kimtazamo na wewe katika hili au? Sijaona kosa lake kwa upande wangu unless UKAMANDA huo unaousema uwe unakitu zaidi ya mimi ninavyoujua.
 
ben saanane naomba hizi thread za kesi za kidini usiwe unaingilia maana utapoteza ile sifa ya ukamanda ndugu yangu. Tukae pembeni tu

Unapenda aisifie Cdm tu? Mpenda haki anapaswa aipiganie popote pale bila kujali anayenyimwa ni wa upande gani, adui mkubwa wa Ponda katika kesi hii ni BAKWATA ambalo ni tawi la CCM.
 
anaenda Jela miaka mitano akitoka anakuta CHADEMA tumeichukua magogoni!!

unaonyesha kuwa na tamaa mbaya ya kuwa madarakani...wenye uelewa wanaelewa nani anawafaa 2015....
uovu na uzuri wa chama tunaupata jamiiforum
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom