Hukumu ya Godbless Lema 29 Oct 2012

Hukumu ya Godbless Lema 29 Oct 2012

mnyinda

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2012
Posts
277
Reaction score
64
Kuna tetesi kuwa leo ndiyo hatma ya aliyekuwa mbunge wa Arusha Godbles Lema tunaomba mwenye taarifa atujuze
 
Wanajf bila kukosea kwa mujibu wa habari leo ndio tarehe ya uamuzi wa pingamizi la awali la rufaa ya kesi ya mbunge Lema inatakiwa kutolewa hivyo ninaomba kwa yeyote atakayepata habari asisahau kutuhabarisha.
Asanteni sana.
 
Hivi ni leo Jumatatu tarehe 29 Oct 2012 au ni Alhamis tarehe 29 Nov 2012?
 
Ni kweli uamuzi wa kesi ya Lema unatolewa leo jiji Dar . Nimesoma hii habari katika gazeti la HabariLeo. Waliopo katika hayo maeneo watujuze.
 
Najua watamalizia hasira zao kwenye hii kesi baada ya kuwaburuza vibaya DARAJA 2.
 
Naona huruma sana Kamanda wetu akiliwa kichwa leo,maana JK alishasema sasa Arusha kumetulia.....hawawezi kumrudisha hata iweje labda kama JK hakuteua majaji wote wale waliopo pale na labda kama hawawajibiki kwake hata kuombwa tu favor kusaidia chama!!!!!
 
Dar wamelala ishu kubwa namnahiyo hakuna mfuatiliaji????? Hata kemp ya jf siipo dar??tuwachangie nauli yakufuatilia hii ishu!!!
 
Back
Top Bottom