ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Huko DRC vijana wahuni wa mtaani, wanaotishia amani Kwa kuvamia makazi na kuuwa raia, kubaka, kutoboa watu macho, kukata viungo vya watu hasa wanawake ,wazee na watoto, kuuwa mifugo, kuharibu mazao n k mjini Kinshasa, wamehukumiwa adhabu ya kifo
Waziri wa sheria bwana Mutamba, ambaye amekuwa maarufu kwenye mitandao ya kijamii huko Kinshasa aliamuru vijana hao zaidi ya 200 kuuwawa na adhabu imetekelezwa
Watu ambao wamewahi kufika Kinshasa wamesema hakuna haja ya kuwahurumia, maana Kuluna Gang ni hatari sana DRC
Wakazi wa Kinshasa wanampongeza sana waziri Mutamba Kwa hukumu yake hiyo
Marekani na mataifa makubwa yamekaa kimya na kuonyesha kuunga mkono mauaji hayo ya Kuluna gang
Hapa kwetu Panya road na wadudu tunaowalea, nadhani tuige Congo
Hawa wahuni wanaweza baadae kuja kuwa kama Kuluna gang huko DRC