Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 2,912
- 12,904
"Kuwaua Kwa siri"sitetei uharifu na uhuni wa hawa vijana huko DRC LAKINI adhabu ya kifo ishafutwa na badala yake kifungo maisha ni adhabu stahiki. Nchi itaona namna gani itawafanya hawa watu, ikiwa ni pamoja na kuwaua kwa siri.
Wadudu siyo wahalifuWadudu wa Arusha ni lini wamevamia na kuua makumi ya watu mkuu?
Wanaoona hao kuluna wameonewa, ni kwa vile tu wanayaangalia matokeo ya matendo ya hao vijana wa kuluna. Hawajui nini kimewafikisha kufanywa hivyo. We mtu anampasua tumbo mjamzito na kunyofoa kitoto, unadhani ana ukatili wa kiwango gani..!!??Wamepata wanachostahili
lengo la kutangaza hivo ni intimidation ili vijana wengine wapunguze kujiingiza hukoHao walitakiwa kufungwa maisha gerezani,na wakiwa huko ndipo wangeuliwa kwa siri,sio huu unyama wa kutangaza hadharani kuwa tumeua ni makosa makubwa. Binadamu hata atende kosa gani hata aue lakini bado yeye ana haki ya kuishi. Hawa walitakiwa wahukumiwe jera maisha,kisha huko gerezani wawaue.
Acha uongo wewe haijatekelezwa.
Ni kweli kwamba Hukumu hiyo bado haijatekelezwa. Vijana hao bado hawajanyongwa isipokuwa wamehamishwa kutoka Kinshasa na wamepelekewa kwenye gereza lingine nje ya mji huo, gereza lenye ulinzi mkali zaidi na lenye mateso makali zaidi.We unadhani ikitekelezwa utajulishwa wewe kama nani
Hao vijana zaidi ya 200 tayari washakuwa
Ukibisha shauri yako
Wewe hao shuhuli Yao imekwisha hivi Kwa akili Yako timamu muhalifu unaweza kumtisha Kwa kumpiga mkwala unafikili muhalifu kama hujamuua muahalifu mwenzake atakua hajui tumia akili halafu mbona kuua muhalifu jambo dogo sana naona unalikuza kama kitu speshoNi kweli kwamba Hukumu hiyo bado haijatekelezwa. Vijana hao bado hawajanyongwa isipokuwa wamehamishwa kutoka Kinshasa na wamepelekewa kwenye gereza lingine nje ya mji huo, gereza lenye ulinzi mkali zaidi na lenye mateso makali zaidi.
Aidha, kwa taarifa za uhakika zilizopo ni kwamba kabla ya vijana hao hawajahamishwa gereza, wapo baadhi ya vijana hao Mawakili wao tayari walishawasilisha Rufaa katika Mahakama za juu ili kupinga Hukumu hiyo. Katika msingi huu, hao vijana waliokata Rufaa automatically wanakuwa wamekosa sifa za kisheria za wao kuweza kunyongwa, Aidha, hata hao Wanyongaji nao wanakuwa hawana uhalali wowote ule wa kikatiba au wa kisheria wa kuweza kutekeleza Hukumu hiyo ya kuwanyonga hao vijana waliokata Rufaa kabla ya kusikilizwa kwa Rufaa zao Kwanza.
Nafikiri huyo Waziri wa Katiba wa huko Congo DR ametoa taarifa hiyo kwa umma kwa lengo maalumu la kuwatisha Vijana hao pamoja na kuwatisha Watu wengine waliopo uraiani ili wasiweze kufanya uhalifu mbaya kama huo, lakini ukichunguza kwa umakini Sana utagundua kwamba kiuhalisia Serikali ya Congo DR wala haitaweza kuwanyonga Watu wote hawa kwa idadi kubwa namna hiyo. Tangazo hilo la Waziri wa Katiba wa huko Congo DR ni Kama Serikali ya huko inajaribu kufanya Propaganda za Vitisho (Mind Control Tactics) ili kuwatuliza Watu hususani vijana wasiendelee kujihusisha na vitendo vya uhalifu kama hivyo.
Kwanza kabisa ningependa kujua kiwanga chako Cha elimu ulichonacho, maana isije ikawa najadiliana na mtu ambaye akili yake pengine inamtosha kwa kuvukia barabara tu!Wewe hao shuhuli Yao imekwisha hivi Kwa akili Yako timamu muhalifu unaweza kumtisha Kwa kumpiga mkwala unafikili muhalifu kama hujamuua muahalifu mwenzake atakua hajui tumia akili
Wala sio lazima kujadiliana na Mimi sababu hapa hatuingizi pesaKwanza kabisa ningependa kujua kiwanga chako Cha elimu ulichonacho, maana isije ikawa najadiliana na mtu ambaye akili pengine inamtosha kwa kuvukia barabara tu!
Je, Umeelewa kwanza nilichoeleza kwenye hiyo comment yangu uliyonukuu?? Soma tena na uelewe na kisha urudi tena hapa baada ya kuelewa nilichoandika. Usifikiri kwamba kila Mtu humu mtandaoni yupo kama ulivyo wewe.
"No research no right to speak."
Mao Zedong
Nimewahusisha mimi au amewahusisha mleta mada?Kwanini umewahusisha wadudu wa Arusha na hao wauaji wa Congo? Nini kimepelekea wewe kuwahusisha?
Hao wahuni washauliwaKwanza kabisa ningependa kujua kiwanga chako Cha elimu ulichonacho, maana isije ikawa najadiliana na mtu ambaye akili pengine inamtosha kwa kuvukia barabara tu!
Je, Umeelewa kwanza nilichoeleza kwenye hiyo comment yangu uliyonukuu?? Soma tena na uelewe na kisha urudi tena hapa baada ya kuelewa nilichoandika. Usifikiri kwamba kila Mtu humu mtandaoni yupo kama ulivyo wewe.
"No research no right to speak."
Mao Zedong
Ndiyo mimi ni mduduwe ni mmoja wao si ndiyo?
Hapo kwenye haya;Ni kweli kwamba Hukumu hiyo bado haijatekelezwa. Vijana hao bado hawajanyongwa isipokuwa wamehamishwa kutoka Kinshasa na wamepelekewa kwenye gereza lingine nje ya mji huo, gereza lenye ulinzi mkali zaidi na lenye mateso makali zaidi.
Aidha, kwa taarifa za uhakika zilizopo ni kwamba kabla ya vijana hao hawajahamishwa gereza, wapo baadhi ya vijana hao Mawakili wao tayari walishawasilisha Rufaa katika Mahakama za juu ili kupinga Hukumu hiyo. Katika msingi huu, hao vijana waliokata Rufaa automatically wanakuwa wamekosa sifa za kisheria za wao kuweza kunyongwa, Aidha, hata hao Wanyongaji nao wanakuwa hawana uhalali wowote ule wa kikatiba au wa kisheria wa kuweza kutekeleza Hukumu hiyo ya kuwanyonga hao vijana waliokata Rufaa kabla ya kusikilizwa kwa Rufaa zao Kwanza.
Nafikiri huyo Waziri wa Katiba wa huko Congo DR ametoa taarifa hiyo kwa umma kwa lengo maalumu la kuwatisha Vijana hao pamoja na kuwatisha Watu wengine waliopo uraiani ili wasiweze kufanya uhalifu mbaya kama huo, lakini ukichunguza kwa umakini Sana utagundua kwamba kiuhalisia Serikali ya Congo DR wala haitaweza kuwanyonga Watu wote hawa kwa idadi kubwa namna hiyo. Tangazo hilo la Waziri wa Katiba wa huko Congo DR ni Kama Serikali ya huko inajaribu kufanya Propaganda za Vitisho (Mind Control Tactics) ili kuwatuliza Watu hususani vijana wasiendelee kujihusisha na vitendo vya uhalifu kama hivyo.
Je, unaelewa maana ya Kukata Rufaa Mahakamani ?Hao wahuni washauliwa
Hutakuja uwaone tena
Yaani serikali itishie kusema imewauwa wakati haijafanya ivo
Sio kila kitu kitawekwa wazi Kwa wote
Hawajatatua tatizo lao!!Huko DRC vijana wahuni wa mtaani, wanaotishia amani Kwa kuvamia makazi na kuuwa raia, kubaka, kutoboa watu macho, kukata viungo vya watu hasa wanawake ,wazee na watoto, kuuwa mifugo, kuharibu mazao n k mjini Kinshasa, wamehukumiwa adhabu ya kifo
Waziri wa sheria bwana Mutamba, ambaye amekuwa maarufu kwenye mitandao ya kijamii huko Kinshasa aliamuru vijana hao zaidi ya 200 kuuwawa na adhabu imetekelezwa
Watu ambao wamewahi kufika Kinshasa wamesema hakuna haja ya kuwahurumia, maana Kuluna Gang ni hatari sana DRC
Wakazi wa Kinshasa wanampongeza sana waziri Mutamba Kwa hukumu yake hiyo
Marekani na mataifa makubwa yamekaa kimya na kuonyesha kuunga mkono mauaji hayo ya Kuluna gang
Hapa kwetu Panya road na wadudu tunaowalea, nadhani tuige Congo
Hawa wahuni wanaweza baadae kuja kuwa kama Kuluna gang huko DRC
Jaribu kwanza kufanya Content Analysis juu ya hicho nilichoandika. Maelezo yangu yapo sahihi kabisa.Hapo kwenye haya;
1. taarifa za uhakika
2. Nafikiri
kunaondoa maana nzima ya post yako.