Hukumu ya kifo Kwa vijana wa Kuluna Gang DRC iwe fundisho Kwa panya road

sitetei uharifu na uhuni wa hawa vijana huko DRC LAKINI adhabu ya kifo ishafutwa na badala yake kifungo maisha ni adhabu stahiki. Nchi itaona namna gani itawafanya hawa watu, ikiwa ni pamoja na kuwaua kwa siri.
"Kuwaua Kwa siri"

Hapa nimekuelewa Sana,
Kuua hadharani ni kuitangazia Dunia na watu kuwa kuua ni Jambo rahisi
 
Kuna wakati amani inabidi kulindwa kwa gharama yeyote na kwa hali yeyote na kwa namna yeyote,watu wanaonyima wenzao usingizi na Amani ,hawapaswi kuishi.
Haki ya binadamu italindwa kwa kuwalinda binadamu wengine.
Wanastahili walichokipata
 
Hao walitakiwa kufungwa maisha gerezani,na wakiwa huko ndipo wangeuliwa kwa siri,sio huu unyama wa kutangaza hadharani kuwa tumeua ni makosa makubwa. Binadamu hata atende kosa gani hata aue lakini bado yeye ana haki ya kuishi. Hawa walitakiwa wahukumiwe jera maisha,kisha huko gerezani wawaue.
lengo la kutangaza hivo ni intimidation ili vijana wengine wapunguze kujiingiza huko

kwanini wafiche alafu wakikamatwa wakauwawe kimya bora ijulikane wanauwawa wote hata wakiwa 200 ujinga ujinga umezidi Congo ndo maana wamefanya hivyo
 
Acha uongo wewe haijatekelezwa.
We unadhani ikitekelezwa utajulishwa wewe kama nani
Hao vijana zaidi ya 200 tayari washakuwa
Ukibisha shauri yako
Ni kweli kwamba Hukumu hiyo bado haijatekelezwa. Vijana hao bado hawajanyongwa isipokuwa wamehamishwa kutoka Kinshasa na wamepelekewa kwenye gereza lingine nje ya mji huo, gereza lenye ulinzi mkali zaidi na lenye mateso makali zaidi.

Aidha, kwa taarifa za uhakika zilizopo ni kwamba kabla ya vijana hao hawajahamishwa gereza, wapo baadhi ya vijana hao Mawakili wao tayari walishawasilisha Rufaa katika Mahakama za juu ili kupinga Hukumu hiyo. Katika msingi huu, hao vijana waliokata Rufaa automatically wanakuwa wamekosa sifa za kisheria za wao kuweza kunyongwa, Aidha, hata hao Wanyongaji nao wanakuwa hawana uhalali wowote ule wa kikatiba au wa kisheria wa kuweza kutekeleza Hukumu hiyo ya kuwanyonga hao vijana waliokata Rufaa kabla ya kusikilizwa kwa Rufaa zao Kwanza.

Nafikiri huyo Waziri wa Katiba wa huko Congo DR ametoa taarifa hiyo kwa umma kwa lengo maalumu la kuwatisha Vijana hao pamoja na kuwatisha Watu wengine waliopo uraiani ili wasiweze kufanya uhalifu mbaya kama huo, lakini ukichunguza kwa umakini Sana utagundua kwamba kiuhalisia Serikali ya Congo DR wala haitaweza kuwanyonga Watu wote hawa kwa idadi kubwa namna hiyo. Tangazo hilo la Waziri wa Katiba wa huko Congo DR ni Kama Serikali ya huko inajaribu kufanya Propaganda za Vitisho (Mind Control Tactics) ili kuwatuliza Watu hususani vijana wasiendelee kujihusisha na vitendo vya uhalifu kama hivyo.
 
Wewe hao shuhuli Yao imekwisha hivi Kwa akili Yako timamu muhalifu unaweza kumtisha Kwa kumpiga mkwala unafikili muhalifu kama hujamuua muahalifu mwenzake atakua hajui tumia akili halafu mbona kuua muhalifu jambo dogo sana naona unalikuza kama kitu spesho
 
Wewe hao shuhuli Yao imekwisha hivi Kwa akili Yako timamu muhalifu unaweza kumtisha Kwa kumpiga mkwala unafikili muhalifu kama hujamuua muahalifu mwenzake atakua hajui tumia akili
Kwanza kabisa ningependa kujua kiwanga chako Cha elimu ulichonacho, maana isije ikawa najadiliana na mtu ambaye akili yake pengine inamtosha kwa kuvukia barabara tu!

Je, Umeelewa kwanza nilichoeleza kwenye hiyo comment yangu uliyonukuu?? Soma tena na uelewe na kisha urudi tena hapa baada ya kuelewa nilichoandika. Usifikiri kwamba kila Mtu humu mtandaoni yupo kama ulivyo wewe.

"No research no right to speak."
Mao Zedong
 
Kwanza kabisa ningependa kujua kiwanga chako Cha elimu ulichonacho, maana isije ikawa najadiliana na mtu ambaye akili pengine inamtosha kwa kuvukia barabara tu!

Wala sio lazima kujadiliana na Mimi sababu hapa hatuingizi pesa
 
Kwanini umewahusisha wadudu wa Arusha na hao wauaji wa Congo? Nini kimepelekea wewe kuwahusisha?
Nimewahusisha mimi au amewahusisha mleta mada?
Amesema Wadudu wa Arusha na Panya Road ni wahalifu, sasa nikamuuliza ni lini wadudu wa Arusha wamevamia na kuua?
 
Kwanza kabisa ningependa kujua kiwanga chako Cha elimu ulichonacho, maana isije ikawa najadiliana na mtu ambaye akili pengine inamtosha kwa kuvukia barabara tu!

Je, Umeelewa kwanza nilichoeleza kwenye hiyo comment yangu uliyonukuu?? Soma tena na uelewe na kisha urudi tena hapa baada ya kuelewa nilichoandika. Usifikiri kwamba kila Mtu humu mtandaoni yupo kama ulivyo wewe.

"No research no right to speak."
Mao Zedong
Hao wahuni washauliwa
Hutakuja uwaone tena
Yaani serikali itishie kusema imewauwa wakati haijafanya ivo
Sio kila kitu kitawekwa wazi Kwa wote
 
Ni kweli kwamba Hukumu hiyo bado haijatekelezwa. Vijana hao bado hawajanyongwa isipokuwa wamehamishwa kutoka Kinshasa na wamepelekewa kwenye gereza lingine nje ya mji huo, gereza lenye ulinzi mkali zaidi na lenye mateso makali zaidi.

Aidha, kwa taarifa za uhakika zilizopo ni kwamba kabla ya vijana hao hawajahamishwa gereza, wapo baadhi ya vijana hao Mawakili wao tayari walishawasilisha Rufaa katika Mahakama za juu ili kupinga Hukumu hiyo. Katika msingi huu, hao vijana waliokata Rufaa automatically wanakuwa wamekosa sifa za kisheria za wao kuweza kunyongwa, Aidha, hata hao Wanyongaji nao wanakuwa hawana uhalali wowote ule wa kikatiba au wa kisheria wa kuweza kutekeleza Hukumu hiyo ya kuwanyonga hao vijana waliokata Rufaa kabla ya kusikilizwa kwa Rufaa zao Kwanza.

Nafikiri huyo Waziri wa Katiba wa huko Congo DR ametoa taarifa hiyo kwa umma kwa lengo maalumu la kuwatisha Vijana hao pamoja na kuwatisha Watu wengine waliopo uraiani ili wasiweze kufanya uhalifu mbaya kama huo, lakini ukichunguza kwa umakini Sana utagundua kwamba kiuhalisia Serikali ya Congo DR wala haitaweza kuwanyonga Watu wote hawa kwa idadi kubwa namna hiyo. Tangazo hilo la Waziri wa Katiba wa huko Congo DR ni Kama Serikali ya huko inajaribu kufanya Propaganda za Vitisho (Mind Control Tactics) ili kuwatuliza Watu hususani vijana wasiendelee kujihusisha na vitendo vya uhalifu kama hivyo.
Hapo kwenye haya;

1. taarifa za uhakika

2. Nafikiri

kunaondoa maana nzima ya post yako.
 
Hadi kunakuwa na makundi hayo ya kihalifu inamaanisha serikali ilikosea mahali ndiyo yakapatikana hayo makundi.DRC Toka mwaka 1960 ni vita mwanzo mwisho usitegemee makundi ya kihalifu yasitokee?Kuuwa mtu haifai.
 
Kuna yule dogo fulani wa Arusha alikuwa akijiita Dangote alitishia Amani maeneo mengi ya chuga.

Akuawawa na wananchi wenye hasira kali.

Ndio watu wa namna hii sasa.
 
Huko DRC vijana wahuni wa mtaani, wanaotishia amani Kwa kuvamia makazi na kuuwa raia, kubaka, kutoboa watu macho, kukata viungo vya watu hasa wanawake ,wazee na watoto, kuuwa mifugo, kuharibu mazao n k mjini Kinshasa, wamehukumiwa adhabu ya kifo

Waziri wa sheria bwana Mutamba, ambaye amekuwa maarufu kwenye mitandao ya kijamii huko Kinshasa aliamuru vijana hao zaidi ya 200 kuuwawa na adhabu imetekelezwa

Watu ambao wamewahi kufika Kinshasa wamesema hakuna haja ya kuwahurumia, maana Kuluna Gang ni hatari sana DRC

Wakazi wa Kinshasa wanampongeza sana waziri Mutamba Kwa hukumu yake hiyo

Marekani na mataifa makubwa yamekaa kimya na kuonyesha kuunga mkono mauaji hayo ya Kuluna gang

Hapa kwetu Panya road na wadudu tunaowalea, nadhani tuige Congo
Hawa wahuni wanaweza baadae kuja kuwa kama Kuluna gang huko DRC
Hawajatatua tatizo lao!!

Ningekua mimi hai vijana wangepelekwa kambi za kijeshi Kwa miaka mitano kufundishwa uzalendo plus kazi ngumu za uzalishaji kufidia uovu wao!

Baada ya hapo watakua wamenyooka kabisa yaani huko kambini ndio gereza lao!!

Lakini hicho walichofanya no kitisho tu ambacho hakitotatua tatizo la ajira na uzalendo nchini mwao!!

Panya road wanatengenezwa na serikali Kwa sera mbovu za ajira na kujitegemea wakati Rasilimali ya ardhi zipo za kutosha tayari Kwa uzalishaji!!
 
Hapo kwenye haya;

1. taarifa za uhakika

2. Nafikiri

kunaondoa maana nzima ya post yako.
Jaribu kwanza kufanya Content Analysis juu ya hicho nilichoandika. Maelezo yangu yapo sahihi kabisa.
1. Kuna taarifa za uhakika:

Ni kweli kabisa kwamba kuna taarifa za uhakika kwa sababu Kesi za Kukata Rufaa zimewasilishwa na Mawakili wa baadhi ya hao vijana waliohukumiwa kunyongwa na tayari zimepokelewa na zimesajiliwa na Mahakama tayari kwa kusikilizwa.
Je, sasa hao vijana waliokata Rufaa watanyongwaje ikiwa Kesi zao za Rufaa bado hazijasikilizwa??

2. Nafikiri:
Ni sahihi kwa sababu Waziri wa Katiba wa huko Congo DR ametoa taarifa za kuwanyonga Watu waliohukumiwa na Mahakama wakati huo huo tayari Watu hao baadhi yao tayari wamekata Rufaa ili kupinga Hukumu hiyo ya kuwanyonga.
Je, huoni kwamba hapa kuna Mgongano wa kimantiki na wa kisheria kuhusiana na suala hili???
 
Back
Top Bottom