Hukumu ya kifo Kwa vijana wa Kuluna Gang DRC iwe fundisho Kwa panya road

Kwaiyo serikali iwaache watendee raia wema huo ukatili
Yaani iwaache wauwe wanawake, wajawazito, watoto, wazee na makundi maalumu Kwa kuwa tu kizazi kabla Yao kishaharibu
Mkuu siungi mkono ukatili wanaofanya, ila pia kuua kundi kubwa hivo la watu that means tatizo limeanza kutatuliwa kuanzia juu kwenda chini, halafu sio watoto kuna habari niliona wanasema ni age kuanzia 18 yrs.
 
HAKUNA death penalty enforcement in Tanzania for over 30 years. Fundisho halipo.

Ni sawa na kusema Waziri Fundikira aliyechapwa viboko na mahakama za Nyerere kwa rushwa awe fundisho kwa mawaziri wa Samia. Well, hakuna adhabu ya fimbo any longer, how the hell can it be fundisho ???????

Tighten up.
 
kumbe waziri wa Sheria DRC anayo nguvu ya kutoa hukumu hadi ya kifo.mimi nidhani ni hukumu ya mahakama.Vipi kama mamlaka hiyo aliyonayo akiitumia vibaya?
 
Watu ambao wamewahi kufika Kinshasa wamesema hakuna haja ya kuwahurumia, maana Kuluna Gang ni hatari sana DRC😢😢😢
 
Watu ambao wamewahi kufika Kinshasa wamesema hakuna haja ya kuwahurumia, maana Kuluna Gang ni hatari sana DRC😢😢😢
Kwa taarifa za uhakika zilizopatikana tarehe 21 Januari, 2025 ni kwamba hakuna hata mtu mmoja ambaye ameshanyongwa kuhusiana na suala hili. Watu wote kabisa waliohukumiwa kunyongwa kutokana na Kesi hii bado wapo hai huko magerezani.
 
Kuna video za Wasomali zinaenea zikionesha alshabab wakiuawa watu wanazusha eti ni za kaluna @ [emoji2][emoji2][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wahuni wa mtaani wanauawa unachekelea na kupongeza, Je wahuni wa serikalini mbona hausemi nao wauawe?
Siku ukikutana na panya road utatamani kufuta haya mashudu haraka sema utashindwa maana simu watakuwa nayo wao
 
Siku ukikutana na panya road utatamani kufuta haya mashudu haraka sema utashindwa maana simu watakuwa nayo wao
Nikutane nao mara ngapi?
Kila siku nakutana nao Vingunguti, sasa sijui nikutane na Panya Road mara ngapi.
Wewe ndiyo unatakiwa ufute huu uharo wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…