ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
- Thread starter
- #141
Wadudu ni kundi la wahuniHaujasoma uzi mkuu, umesoma heading ya uzi peke yake ukakimbilia kwenye maoni ya wadauView attachment 3206151
Labda hujafika Arusha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadudu ni kundi la wahuniHaujasoma uzi mkuu, umesoma heading ya uzi peke yake ukakimbilia kwenye maoni ya wadauView attachment 3206151
Mkuu siungi mkono ukatili wanaofanya, ila pia kuua kundi kubwa hivo la watu that means tatizo limeanza kutatuliwa kuanzia juu kwenda chini, halafu sio watoto kuna habari niliona wanasema ni age kuanzia 18 yrs.Kwaiyo serikali iwaache watendee raia wema huo ukatili
Yaani iwaache wauwe wanawake, wajawazito, watoto, wazee na makundi maalumu Kwa kuwa tu kizazi kabla Yao kishaharibu
HAKUNA death penalty enforcement in Tanzania for over 30 years. Fundisho halipo.Huko DRC vijana wahuni wa mtaani, wanaotishia amani Kwa kuvamia makazi na kuuwa raia, kubaka, kutoboa watu macho, kukata viungo vya watu hasa wanawake ,wazee na watoto, kuuwa mifugo, kuharibu mazao n k mjini Kinshasa, wamehukumiwa adhabu ya kifo
Waziri wa sheria bwana Mutamba, ambaye amekuwa maarufu kwenye mitandao ya kijamii huko Kinshasa aliamuru vijana hao zaidi ya 200 kuuwawa na adhabu imetekelezwa
Watu ambao wamewahi kufika Kinshasa wamesema hakuna haja ya kuwahurumia, maana Kuluna Gang ni hatari sana DRC
Wakazi wa Kinshasa wanampongeza sana waziri Mutamba Kwa hukumu yake hiyo
Marekani na mataifa makubwa yamekaa kimya na kuonyesha kuunga mkono mauaji hayo ya Kuluna gang
Hapa kwetu Panya road na wadudu tunaowalea, nadhani tuige Congo
Hawa wahuni wanaweza baadae kuja kuwa kama Kuluna gang huko DRC
Huko DRC vijana wahuni wa mtaani, wanaotishia amani Kwa kuvamia makazi na kuuwa raia, kubaka, kutoboa watu macho, kukata viungo vya watu hasa wanawake ,wazee na watoto, kuuwa mifugo, kuharibu mazao n k mjini Kinshasa, wamehukumiwa adhabu ya kifo
Waziri wa sheria bwana Mutamba, ambaye amekuwa maarufu kwenye mitandao ya kijamii huko Kinshasa aliamuru vijana hao zaidi ya 200 kuuwawa na adhabu imetekelezwa
Watu ambao wamewahi kufika Kinshasa wamesema hakuna haja ya kuwahurumia, maana Kuluna Gang ni hatari sana DRC
Wakazi wa Kinshasa wanampongeza sana waziri Mutamba Kwa hukumu yake hiyo
Marekani na mataifa makubwa yamekaa kimya na kuonyesha kuunga mkono mauaji hayo ya Kuluna gang
Hapa kwetu Panya road na wadudu tunaowalea, nadhani tuige Congo
Hawa wahuni wanaweza baadae kuja kuwa kama Kuluna gang huko DRC
Watu ambao wamewahi kufika Kinshasa wamesema hakuna haja ya kuwahurumia, maana Kuluna Gang ni hatari sana DRC😢😢😢Huko DRC vijana wahuni wa mtaani, wanaotishia amani Kwa kuvamia makazi na kuuwa raia, kubaka, kutoboa watu macho, kukata viungo vya watu hasa wanawake ,wazee na watoto, kuuwa mifugo, kuharibu mazao n k mjini Kinshasa, wamehukumiwa adhabu ya kifo
Waziri wa sheria bwana Mutamba, ambaye amekuwa maarufu kwenye mitandao ya kijamii huko Kinshasa aliamuru vijana hao zaidi ya 200 kuuwawa na adhabu imetekelezwa
Watu ambao wamewahi kufika Kinshasa wamesema hakuna haja ya kuwahurumia, maana Kuluna Gang ni hatari sana DRC
Wakazi wa Kinshasa wanampongeza sana waziri Mutamba Kwa hukumu yake hiyo
Marekani na mataifa makubwa yamekaa kimya na kuonyesha kuunga mkono mauaji hayo ya Kuluna gang
Hapa kwetu Panya road na wadudu tunaowalea, nadhani tuige Congo
Hawa wahuni wanaweza baadae kuja kuwa kama Kuluna gang huko DRC
Kwa taarifa za uhakika zilizopatikana tarehe 21 Januari, 2025 ni kwamba hakuna hata mtu mmoja ambaye ameshanyongwa kuhusiana na suala hili. Watu wote kabisa waliohukumiwa kunyongwa kutokana na Kesi hii bado wapo hai huko magerezani.Watu ambao wamewahi kufika Kinshasa wamesema hakuna haja ya kuwahurumia, maana Kuluna Gang ni hatari sana DRC😢😢😢
Kuna video za Wasomali zinaenea zikionesha alshabab wakiuawa watu wanazusha eti ni za kaluna @ [emoji2][emoji2][emoji3][emoji3][emoji3]Kwa taarifa za uhakika zilizopatikana tarehe 21 Januari, 2025 ni kwamba hakuna hata mtu mmoja ambaye ameshanyongwa kuhusiana na suala hili. Watu wote kabisa waliohukumiwa kunyongwa kutokana na Kesi hii bado wapo hai huko magerezani.
Siku ukikutana na panya road utatamani kufuta haya mashudu haraka sema utashindwa maana simu watakuwa nayo waoWahuni wa mtaani wanauawa unachekelea na kupongeza, Je wahuni wa serikalini mbona hausemi nao wauawe?
Nikutane nao mara ngapi?Siku ukikutana na panya road utatamani kufuta haya mashudu haraka sema utashindwa maana simu watakuwa nayo wao