Hukumu ya mwenye kunywa pombe au kilevi chochote katika uislamu ni kupigwa viboko 80

Mwizukulu mgikuru

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2021
Posts
6,788
Reaction score
16,227
Kwa sisi tuliokunywa pombe zaidi ya mara moja inatakiwa tupigwe viboko Hadi tufe. "Enyi mlioamini msiingie katika swala mkiwa mmelewa" .. " hakika pombe, na kamari na kupiga ramli ni miongoni mwa amali au matendo ya sheitani..Hizi ni baadhi ya Aya nilizozinukuu kutoka kwenye kitabu kitukufu Cha quran
 
ivi n kwel uko peponi kuna mabikra 72 na mito ya pombe au huwa n watu tu wanaamua kuikebeh islamic?
 
Baada ya mwezi wa ramadhani kuisha kwa hizo sheria unaweza kuta unacharaza viboko msikiti mzima hadi imam
 
Kwa sisi tuliokunywa pombe zaidi ya mara moja inatakiwa tupigwe viboko Hadi tufe. "Enyi mlioamini msiingie katika swala mkiwa mmelewa" .. " hakika pombe, na kamari na kupiga ramli ni miongoni mwa amali au matendo ya sheitani..Hizi ni baadhi ya Aya nilizozinukuu kutoka kwenye kitabu kitukufu Cha quran
Hizo Aya mbona sioni hivo viboko 80?
 
ivi n kwel uko peponi kuna mabikra 72 na mito ya pombe au huwa n watu tu wanaamua kuikebeh islamic?
..hiyo huwa ni mafunzo ya ku-brain wash fukara wanaoandikishwa kwa squard ya kujitoa mhanga (suicide bombers), ni exploitation ya vijna toka familia masikini
 
Subiri wenye dini yao waje kutoa mapovu
IMG_1143.jpeg
 
Kwa sisi tuliokunywa pombe zaidi ya mara moja inatakiwa tupigwe viboko Hadi tufe. "Enyi mlioamini msiingie katika swala mkiwa mmelewa" .. " hakika pombe, na kamari na kupiga ramli ni miongoni mwa amali au matendo ya sheitani..Hizi ni baadhi ya Aya nilizozinukuu kutoka kwenye kitabu kitukufu Cha quran
Malaria 2 anastahili bakora
 
Kinachokatazwa katika Uislamu ni kuingia kwenye swala ukiwa umelewa! Kama hauko katika Swala unapiga kama kawida.
Zipo hukumu za mwenye kunywa pombe kama kupigwa viboko 80 kama inavyoelezwa katika hadithi sahihi kutoka kwa mtume Muhammad, lakini pia amelaaniwa na MUNGU alieumba mbingu na ardhi mtu mwenye kunywa pombe...
 
Zipo hukumu za mwenye kunywa pombe kama kupigwa viboko 80 kama inavyoelezwa katika hadithi sahihi kutoka kwa mtume Muhammad, lakini pia amelaaniwa na MUNGU alieumba mbingu na ardhi mtu mwenye kunywa pombe.....
mbona wanamiliki bar, na kitimoto tunashirikiana kiupendo tu
 
Back
Top Bottom