Hukumu ya mwenye kunywa pombe au kilevi chochote katika uislamu ni kupigwa viboko 80

Mbona peponi kuna pombe tena unajichotea mtoni kabisa tani yako hapa waislamu mtupe elimu iweje ukatazwe pombe duniani ukaikute peponi.
 
Kwa sisi tuliokunywa pombe zaidi ya mara moja inatakiwa tupigwe viboko Hadi tufe. "Enyi mlioamini msiingie katika swala mkiwa mmelewa" .. " hakika pombe, na kamari na kupiga ramli ni miongoni mwa amali au matendo ya sheitani..Hizi ni baadhi ya Aya nilizozinukuu kutoka kwenye kitabu kitukufu Cha quran
Mbona Sheikh Kipozeo alisema pombe itanywewa tu
 
Jichanganye uniiguse
1744810822358.png
 
Last saturday nlikuwa kweny harus ya kiislam..c kwa zile pombe walizoweka mle ukumbin...hadi wamenihamasisha niwe nawachangia kadi zao
 
Kwa sisi tuliokunywa pombe zaidi ya mara moja inatakiwa tupigwe viboko Hadi tufe. "Enyi mlioamini msiingie katika swala mkiwa mmelewa" .. " hakika pombe, na kamari na kupiga ramli ni miongoni mwa amali au matendo ya sheitani..Hizi ni baadhi ya Aya nilizozinukuu kutoka kwenye kitabu kitukufu Cha quran
Sasa mbina allah anasema tukienda peponi tutakuta mito ya 0ombe za kila aina.. yaani kujichitea tu!!?
 
Ila ukifa na ukifika peponi huko
Kuna mito ya pombe
Mabikira 72, wenye uzuri wa kina namna.

Sasa mwambie Allah, sisi tumeqnza kumwakilisha hapa hapa Ulimwenguni
 
Allah anasema wenye hekima wanajua utamu wa pombe

Koran 16:67 And from the fruits of date palms and grapes, you derive strong drink and a goodly provision. There is indeed a sign in this for those of reason
 
Kwa sisi tuliokunywa pombe zaidi ya mara moja inatakiwa tupigwe viboko Hadi tufe. "Enyi mlioamini msiingie katika swala mkiwa mmelewa" .. " hakika pombe, na kamari na kupiga ramli ni miongoni mwa amali au matendo ya sheitani..Hizi ni baadhi ya Aya nilizozinukuu kutoka kwenye kitabu kitukufu Cha quran
Na muislamu aliye OA wanawake zaidi alivyo agiza mtume
 
Kwa sisi tuliokunywa pombe zaidi ya mara moja inatakiwa tupigwe viboko Hadi tufe. "Enyi mlioamini msiingie katika swala mkiwa mmelewa" .. " hakika pombe, na kamari na kupiga ramli ni miongoni mwa amali au matendo ya sheitani..Hizi ni baadhi ya Aya nilizozinukuu kutoka kwenye kitabu kitukufu Cha quran
Bado kuzini
 
Back
Top Bottom