Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 6,788
- 16,227
Kupigwa Hadi kufaKuna watu humu itabidi wapigwe hadi wachakae kabisa
ivi n kwel uko peponi kuna mabikra 72 na mito ya pombe au huwa n watu tu wanaamua kuikebeh islamic?Kwa sisi tuliokunywa pombe zaidi ya mara moja inatakiwa tupigwe viboko Hadi tufe. "Enyi mlioamini msiingie katika swala mkiwa mmelewa" .. " hakika pombe, na kamari na kupiga ramli ni miongoni mwa amali au matendo ya sheitani..Hizi ni baadhi ya Aya nilizozinukuu kutoka kwenye kitabu kitukufu Cha quran
Baada ya mwezi wa ramadhani kuisha kwa hizo sheria unaweza kuta unacharaza viboko msikiti mzima hadi imamKwa sisi tuliokunywa pombe zaidi ya mara moja inatakiwa tupigwe viboko Hadi tufe. "Enyi mlioamini msiingie katika swala mkiwa mmelewa" .. " hakika pombe, na kamari na kupiga ramli ni miongoni mwa amali au matendo ya sheitani..Hizi ni baadhi ya Aya nilizozinukuu kutoka kwenye kitabu kitukufu Cha quran
Hizo Aya mbona sioni hivo viboko 80?Kwa sisi tuliokunywa pombe zaidi ya mara moja inatakiwa tupigwe viboko Hadi tufe. "Enyi mlioamini msiingie katika swala mkiwa mmelewa" .. " hakika pombe, na kamari na kupiga ramli ni miongoni mwa amali au matendo ya sheitani..Hizi ni baadhi ya Aya nilizozinukuu kutoka kwenye kitabu kitukufu Cha quran
..hiyo huwa ni mafunzo ya ku-brain wash fukara wanaoandikishwa kwa squard ya kujitoa mhanga (suicide bombers), ni exploitation ya vijna toka familia masikiniivi n kwel uko peponi kuna mabikra 72 na mito ya pombe au huwa n watu tu wanaamua kuikebeh islamic?
nachoulizia mimi ni kwel imeandikwa au huwa mnawadhihaki tu islamic?..hiyo huwa ni mafunzo ya ku-brain wash fukara wanaoandikishwa kwa squard ya kujitoa mhanga (suicide bombers), ni exploitation ya vijna toka familia masikini
Malaria 2 anastahili bakoraKwa sisi tuliokunywa pombe zaidi ya mara moja inatakiwa tupigwe viboko Hadi tufe. "Enyi mlioamini msiingie katika swala mkiwa mmelewa" .. " hakika pombe, na kamari na kupiga ramli ni miongoni mwa amali au matendo ya sheitani..Hizi ni baadhi ya Aya nilizozinukuu kutoka kwenye kitabu kitukufu Cha quran
Imeisha hiyo" hakika pombe, na kamari na kupiga ramli ni miongoni mwa amali au matendo ya sheitani"
Zipo hukumu za mwenye kunywa pombe kama kupigwa viboko 80 kama inavyoelezwa katika hadithi sahihi kutoka kwa mtume Muhammad, lakini pia amelaaniwa na MUNGU alieumba mbingu na ardhi mtu mwenye kunywa pombe...Kinachokatazwa katika Uislamu ni kuingia kwenye swala ukiwa umelewa! Kama hauko katika Swala unapiga kama kawida.
Ingia hapa alhidayya .comHizo Aya mbona sioni hivo viboko 80?
Kupigwa viboko mpaka kufaYani pombe wazee wa 24hrs tutakula ngapi hapo?
mbona wanamiliki bar, na kitimoto tunashirikiana kiupendo tuZipo hukumu za mwenye kunywa pombe kama kupigwa viboko 80 kama inavyoelezwa katika hadithi sahihi kutoka kwa mtume Muhammad, lakini pia amelaaniwa na MUNGU alieumba mbingu na ardhi mtu mwenye kunywa pombe.....