Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 6,788
- 16,227
- Thread starter
-
- #21
mbona wanamiliki bar, na kitimoto tunashirikiana kiupendo tuha
Hayo ni maamuzi yake ndio maana kila Binadamu amepewa akili ....na MUNGU anasema hawatofauru kuona ufarme wa mungu na ufauru isipokuwa wenye akili"
Mbona Sheikh Kipozeo alisema pombe itanywewa tuKwa sisi tuliokunywa pombe zaidi ya mara moja inatakiwa tupigwe viboko Hadi tufe. "Enyi mlioamini msiingie katika swala mkiwa mmelewa" .. " hakika pombe, na kamari na kupiga ramli ni miongoni mwa amali au matendo ya sheitani..Hizi ni baadhi ya Aya nilizozinukuu kutoka kwenye kitabu kitukufu Cha quran
Jichanganye uniiguse
Sasa wenyewe ndyo wameanza kuwa walevi duniani, wanapingana na dini yao
Hahaha can’t imagine nakufa nakula mbarata, yote hayo nifike na kuishi janat Firdaus? Crazy life yani kwny imaanKupigwa viboko mpaka kufa
Hio ni motivation kwa wale wa kujilipuaivi n kwel uko peponi kuna mabikra 72 na mito ya pombe au huwa n watu tu wanaamua kuikebeh islamic?
Peponi mkuu sio huku dunianiMbona Sheikh Kipozeo alisema pombe itanywewa tu
Huyu ni alikuwa kiazi mbatata 🤣
Sasa mbina allah anasema tukienda peponi tutakuta mito ya 0ombe za kila aina.. yaani kujichitea tu!!?Kwa sisi tuliokunywa pombe zaidi ya mara moja inatakiwa tupigwe viboko Hadi tufe. "Enyi mlioamini msiingie katika swala mkiwa mmelewa" .. " hakika pombe, na kamari na kupiga ramli ni miongoni mwa amali au matendo ya sheitani..Hizi ni baadhi ya Aya nilizozinukuu kutoka kwenye kitabu kitukufu Cha quran
Hapo umepiga kama CHADEMA walivyokataa kusaini maadili ya Kailima.Kinachokatazwa katika Uislamu ni kuingia kwenye swala ukiwa umelewa! Kama hauko katika Swala unapiga kama kawida.
Na muislamu aliye OA wanawake zaidi alivyo agiza mtumeKwa sisi tuliokunywa pombe zaidi ya mara moja inatakiwa tupigwe viboko Hadi tufe. "Enyi mlioamini msiingie katika swala mkiwa mmelewa" .. " hakika pombe, na kamari na kupiga ramli ni miongoni mwa amali au matendo ya sheitani..Hizi ni baadhi ya Aya nilizozinukuu kutoka kwenye kitabu kitukufu Cha quran
Awatendee haki tuNa muislamu aliye OA wanawake zaidi alivyo agiza mtume
Bado kuziniKwa sisi tuliokunywa pombe zaidi ya mara moja inatakiwa tupigwe viboko Hadi tufe. "Enyi mlioamini msiingie katika swala mkiwa mmelewa" .. " hakika pombe, na kamari na kupiga ramli ni miongoni mwa amali au matendo ya sheitani..Hizi ni baadhi ya Aya nilizozinukuu kutoka kwenye kitabu kitukufu Cha quran