Hukumu ya rufani ya Sabaya kupinga kifungo cha miaka 30 jela kutolewa leo Mei 6, 2022

Hukumu ya rufani ya Sabaya kupinga kifungo cha miaka 30 jela kutolewa leo Mei 6, 2022

Labda anatolewa chooni,lakini kama ni Jela hatoki Jambazi huyu matako yake,iwe Jua iwe Mvua anagonga mwamba leo,tayari nipo Mahakamani hapa Arusha namsubiri nione atakavyojinyea leo Jenerali wa mchongo
[emoji2][emoji2][emoji2]

Imeisha tayari. Mkuu futa tu hii kauli
 
Ombea mema watu hii dunia ni yetu sote[emoji848]
 
Back
Top Bottom