Hukumu ya rufani ya Sabaya kupinga kifungo cha miaka 30 jela kutolewa leo Mei 6, 2022

Hukumu ya rufani ya Sabaya kupinga kifungo cha miaka 30 jela kutolewa leo Mei 6, 2022

Kesi za kisiasa tu,hata hiyo nyingine ni suala la muda tu.......
 
Hii Rufaa INAGONGA MWAMBA,kisha tarehe 31 kwenye ile Hukumu ya Kesi nyingine anagongwa miaka 30 mingine Jela na kazi ngumu,kumamamamae,eti Jenerali Sabaya,mfyuuuuuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nani kagongwa kati ya sabaya na wewe?
 
Hii Rufaa INAGONGA MWAMBA,kisha tarehe 31 kwenye ile Hukumu ya Kesi nyingine anagongwa miaka 30 mingine Jela na kazi ngumu,kumamamamae,eti Jenerali Sabaya,mfyuuuuuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Habari yako mkuu [emoji3][emoji3]
 
Labda anatolewa chooni,lakini kama ni Jela hatoki Jambazi huyu matako yake,iwe Jua iwe Mvua anagonga mwamba leo,tayari nipo Mahakamani hapa Arusha namsubiri nione atakavyojinyea leo Jenerali wa mchongo
Hujambo Mkuu [emoji846][emoji846]
 
Back
Top Bottom