King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Inasikitisha sana ,utasikia wanakata rufaa kisha wanatoka kama Jambazi ole sabaya...hatutokubali ikitokea hiyo."Muombe msamaha afande"
Unaishi wapi "buza",
Buza sehemu gani" shule"
Utarudia ?sirudii.
Yaani ile interview yao ndo inayoumiza watu.kuliko kitendo chenyewe.