Hukumu ya "Waliotumwa na Afande" kutolewa leo Jumatatu, Septemba 30, 2024

Hukumu ya "Waliotumwa na Afande" kutolewa leo Jumatatu, Septemba 30, 2024

Attachments

  • Screenshot_20240930-171013.png
    Screenshot_20240930-171013.png
    645.8 KB · Views: 2
kumbukwe, Wakili wa Utetezi, Godfrey Wasonga, alisema Ushahidi wa Video uliowasilishwa Mahakamani unatofautiana na madai ya Mitandao ya Kijamii, akibainisha kuwa DVD iliyochezwa Mahakamani haikuonesha wazi sura za wahusika wala kitendo chochote kilichokuwa kikifanyika

kwa statement hiyo hapo juu wameshashinda.....take note of this
DVD?
 
Wakili wa utetezi anasema.DVD iliyochezwa mahakamani haitoneshi sura za akina nyundo wala kitendo walichofanya.
Swali watu wamemjuaje kuwa yule ni nyundo?
Sawa sio wao kwanini akamatwe nyundo na wenzie?wakati hawakufanya chochote?
 
Sure? Kama ni kweli haki imetendeka na imeonekana kutendeka.

Swali: Tutakuwa na uhakika gani kwamba wameenda Ngome aka Lupango?

Afande ameepuka vipi Kikombe?
Wao walikataa kuwa hawajatumwa na afande .utawasaidia vipi?wameamua kufa kijerumani.bora wangekubali wametumwa mahakama ingeweza kuwasaidia.lakini sasa wanekataa inaonekana wamebaka kwa mapenzi yao.sio kutumwa
 
Hili tumemaliza salama
 
Attachments

  • Screenshot_20240930_173747_Instagram.jpg
    Screenshot_20240930_173747_Instagram.jpg
    407.1 KB · Views: 2
Wao walikataa kuwa hawajatumwa na afande .utawasaidia vipi?wameamua kufa kijerumani.bora wangekubali wametumwa mahakama ingeweza kuwasaidia.lakini sasa wanekataa inaonekana wamebaka kwa mapenzi yao.sio kutumwa
Safi wamepewa haki yao ya kikatiba kwa kumlinda Afande.
 
Wakirudi mtaani tutakata dude zao!
Wewe wasema, lakini uelewe kuwa
binadamu hatulingani akili, kuna wanawake wengine wanapenda wanaume wababe na wachafu wa tabia.

Wakitoka hapo wachumba nje nje, mi nakwambia.
 
Back
Top Bottom