Hukumu ya "Waliotumwa na Afande" kutolewa leo Jumatatu, Septemba 30, 2024

Hukumu ya "Waliotumwa na Afande" kutolewa leo Jumatatu, Septemba 30, 2024

Hawa watu hata wakihukumiwa kifungo hawaendi jela. Jambo moja ambalo Watanzania hawajui ni kwamba kuna watu wanahukumiwa kwenda jela lakini hawapelekwi jela. Nani amewahi kufuatilia kama mtu aliehukumiwa kwenda jela kweli yupo gereza fulani?

Kuna baadhi ya wahukumiwa wenye connection na CCM na serikali, wakihukumiwa wanambiwa wabadili majina waende kuishi mahali wakiwa wameficha utambulisho wao hadi kifungo chao kiishe. Unahukumiwa kama Mudy Ramadhani hapa Dar, unaambiwa nenda Kibondo kaishi kama Kalumanzila hadi kifungo chako kiishe, usiwasiliane na watu wanaokufahamu!
Ni kwel, mimi mzee wangu enz akiwa na influence mkoa mmoja hapo nyanda za juu kusini magharibu, baba mdogo alikuhukumiwa jela ila akawa analala home, gerezan ilikua analala mara moja moja sana mpaka siku anamaliza kifungo, ila ndio alikua full time ndani
 
Hukumu ya kesi ya kubaka kwa kundi na kumwingilia kinyume cha maumbile binti, mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam inayowakabili washtakiwa wanne wakiwamo askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na wa Magereza, itatolewa leo Jumatatu, Septemba 30, 2024.

Kesi hiyo ya jinai namba 23476 ya mwaka 2024 inawakabili washtakiwa wanne akiwamo MT 140105 Clinton Damas, maarufu Nyundo ambaye ni askari wa JWTZ, askari Magereza C.1693 Praygod Mushi, Nickson Jackson ‘Machuche’ na Amin Lema anayejulikana pia kwa jina la Kindamba.
Soma:
=> Kesi ya waliotumwa na afande kubaka na kulawiti yaendelea leo
=> Yanayojiri kesi ya "Binti wa Yombo": Daktari aliyempima Binti aliyebakwa na Maafisa wa Jeshi atoa ushahidi Mahakamani
=>
Watu 4 wanaotuhumiwa ‘kutumwa na afande’ kumlawiti na kumbaka binti mkazi wa Yombo Dovya Mkoani Dar, Wafikishwa Mahakamani
Alaf huyu wa mbele ndio alikuwa ananyonywa dude akataka kumpiga na chupa binti wa watu jaman
 
kumbukwe, Wakili wa Utetezi, Godfrey Wasonga, alisema Ushahidi wa Video uliowasilishwa Mahakamani unatofautiana na madai ya Mitandao ya Kijamii, akibainisha kuwa DVD iliyochezwa Mahakamani haikuonesha wazi sura za wahusika wala kitendo chochote kilichokuwa kikifanyika

kwa statement hiyo hapo juu wameshashinda.....take note of this
Endapo kama Maelezo haya yana Ukweli, Basi naamini kwa dhati kabisa kwamba wataachiwa huru hao watuhumiwa.
 
Back
Top Bottom