Hukumu ya "Waliotumwa na Afande" kutolewa leo Jumatatu, Septemba 30, 2024

Hukumu ya "Waliotumwa na Afande" kutolewa leo Jumatatu, Septemba 30, 2024

Za chini ya godoro zinasema wameshinda kesi.kesi imeamuliwa hawakutenda kosa.lakini inasemekana jaji alipigiwa simu japo hiyo simu haikujulikana ni ya nani
Wanaongezaaaa wabakaji na walawiti ngoja tusikie
 
Hakuna kesi pale. Wale jamaa walifikishwa mahakamani sababu ya shinikizo la halaiki lakini hakukua na dhamira ya kuwafungulia kesi.

Hukumu itatoka wahukumiwe kifungo maisha, watakata rufaa na watashinda.
 
Za chini ya godoro zinasema wameshinda kesi.kesi imeamuliwa hawakutenda kosa.lakini inasemekana jaji alipigiwa simu japo hiyo simu haikujulikana ni ya nani
Kwa case ile hakuna wa kufungwa, ndo maana hata case za RC zimeyeyuka km upepoo.
[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
 
Naangaliataarifa ya habari kwa ufupi upendo TV wanassema ile kesi ya kubaka kabinti mpaka kuitaa naomba maji inaamuliwa leo

Wenye kutujuza .mtujuze nn kimeamuliwa huko..

Pole sana kabinti
Hukumu ni saa 8 mchana.
Screenshot_20240930_140752_Instagram.jpg
 
Ob
kumbukwe, Wakili wa Utetezi, Godfrey Wasonga, alisema Ushahidi wa Video uliowasilishwa Mahakamani unatofautiana na madai ya Mitandao ya Kijamii, akibainisha kuwa DVD iliyochezwa Mahakamani haikuonesha wazi sura za wahusika wala kitendo chochote kilichokuwa kikifanyika

kwa statement hiyo hapo juu wameshashinda.....take note of this
Obvious hii ngoma ishakua nyepes maana polita walipeleka ushahid lege lege Kwa makusud
 
Hawa watu hata wakihukumiwa kifungo hawaendi jela. Jambo moja ambalo Watanzania hawajui ni kwamba kuna watu wanahukumiwa kwenda jela lakini hawapelekwi jela. Nani amewahi kufuatilia kama mtu aliehukumiwa kwenda jela kweli yupo gereza fulani?

Kuna baadhi ya wahukumiwa wenye connection na CCM na serikali, wakihukumiwa wanambiwa wabadili majina waende kuishi mahali wakiwa wameficha utambulisho wao hadi kifungo chao kiishe. Unahukumiwa kama Mudy Ramadhani hapa Dar, unaambiwa nenda Kibondo kaishi kama Kalumanzila hadi kifungo chako kiishe, usiwasiliane na watu wanaokufahamu!
Mimi siamini katika hili.naamini watu wanafungwa kama kuna ushahidi wa hili jambo basi tupe ili tuamini
 
Back
Top Bottom