Hukumu ya "Waliotumwa na Afande" kutolewa leo Jumatatu, Septemba 30, 2024

Hukumu ya "Waliotumwa na Afande" kutolewa leo Jumatatu, Septemba 30, 2024

Mimi siamini katika hili.naamini watu wanafungwa kama kuna ushahidi wa hili jambo basi tupe ili tuamini
Nina uhakika unaamini pia kwamba hela za mikopo na misaada tola nje na miradi zinatumika inavyostahili, na kama tunasema si kweli tukupe ushahidi ili uamini!
 
Kuna Ukweli kuhusu suala hili.
Niishie tu hapa, sitaki kueleza zaidi.
Wewe unafanya mchezo na chama tawala, nchii hii ina wenyewe bwana. Labda niulize, yule mkurugenzi aliempiga risasi ya kichwa muumini wa sabato yuko wapi?

Kuna watu wanasema hata Dito yuko mahali anakula kuku! Ile kesi ya kumfumua ubongo dereva wa daladala ilikuwa ngumu sana ilibidi uncle Dito akubali "kufa". Plastic surgery, then baada ya mwezi anadunda mitaani, au hata anahamia Bondeni kula kuku, hapa unaambiwa kafia gerezani kwa shinikizo la damu!

Dr. Balali nae baada ya chenji ya BOT kukwepuliwa na maswali kwenda serikalini na wakashindwa kuyajibu, nae "alikufa" huko USA!
 
Hii kesi maamuzi yoyote yatakayofikiwa yatakuwa yametoa fundisho kwa jamii.

Na hasa kwa wanajeshi wetu.
Jeshi limepewa heshima kubwa ya kulinda Amani dhidi ya raia.
Tuna Imani nao.
Vijana wajue hilo.
Utanitag kwenye hukumu. Funzo kwa jamii nakubali, lakini funzo kwa wajeshi ni ndoto labda kama sio Tanzania
 
Nilijua watashtakiwa kwa sheria za jeshini
 
Za chini ya godoro zinasema wameshinda kesi.kesi imeamuliwa hawakutenda kosa.lakini inasemekana jaji alipigiwa simu japo hiyo simu haikujulikana ni ya nani

Habari Hii siiamini, uzuri ni leo leo kinaeleweka
 
Back
Top Bottom