Hukumu ya "Waliotumwa na Afande" kutolewa leo Jumatatu, Septemba 30, 2024

Hukumu ya "Waliotumwa na Afande" kutolewa leo Jumatatu, Septemba 30, 2024

Nimesoma wamepigwa mvua ya maisha na faini ya milioni 1 kila mtu kumlipa binti
Ofkooz wale jamaa wangepata nafuu pale kila mtu hamsini mana kosa dogo pale lina miaka 9 jela na ni la madawa ya kulevya tu. Hayo mengne 5 yote ni miaka 15 mpaka 30 na yako matano
 
DUDEE WAMEUKALIA MAISHAAA KHA

BORA WAENDE KWA PDIDY.usa
 
Mods vipi? Hamuitendei haki JF ,mpaka sasa hatuna uhakika kama hukumu ni kweli au lah ,nilitegemea muweke Red Alert au Breakin news kwenye thread ,maana hapa tunachangia huku 50/50(Hatuna uhakika).
 
WAMEPIGWAAA MAISHAAA

MMNILITAKAAA WANYONGWEEE KABISAAA

HATUWEZI KUKAZIAAA HUKUMUUU

HESHIMAKWAKOOO HAKIMU

WENGINE TUMENUNUA DOMPO NA KONYAGI KUSUBIRI HUKUUMUUU

VIJANA MLIO MAENEO YA KMR MWISHO MNAKARIBISHWAA SANA

hapaaaa nasikilixaaaa wimbooo wa

unawezaaaa kufanyaaaaaaa

Unawezaaaaa kutendaaaaaaa

Mamboooooo makubwaaaaa zaidiii ya ya niombayoooooooooooo
 
Mods vipi? Hamuitendei haki JF ,mpaka sasa hatuna uhakika kama hukumu ni kweli au lah ,nilitegemea muweke Red Alert au Breakin news kwenye thread ,maana hapa tunachangia huku 50/50(Hatuna uhakika).
MKUUU WAMEPIGWA MAISHAAA

SRC CHANNEL TEN

SRC UPENDOOOO TC

SRC EATV

BUNDLE AT UR OWN RISKY
 
YAAAN EATV WAMEWEKAA TANGAZO LA BRKN NEWS DK 3 NKAJUAAA PDIDY USA KATOKAAQ DAH NAONAA HUKUMU YA NYUNDO NA WENZIE

NKAAGIZA FASTA LEMON SLICE
NA KONYAGI
 
Attachments

  • 20240930_174140.jpg
    20240930_174140.jpg
    519.7 KB · Views: 1
HAPAAA NIKO BAR WANAPIGAAAAAA

NYIMBOOO YA MAMBOOO MAKUBWAAA
ZAIDI YA NIOMBAVYOOOOOOOO

UNAWEZAAA KUFANYAAAA UNAWEZAA KUTENDAAA YALEE MAMBOOO ZAIDI YA NIOMBAVYOOOOO.......

ISIJEPOA NYAGIYANGU
 
Tunashukuru watu wote waliopiga kelele kuhusu suaa hili. HAKI IMEPATIKANA.
HAKIKAAA MKUUU M NIMETOKA DODOMA MAJUZI KUNA JAMAA WALIKUJA NA KAMPENI WATOKEEE WEEEE AKANIAMBIA MTU KAMA NDUGUZAKOO WAKUANDIKIE URITHI MAPEMAAA
 
Ni kwel, mimi mzee wangu enz akiwa na influence mkoa mmoja hapo nyanda za juu kusini magharibu, baba mdogo alikuhukumiwa jela ila akawa analala home, gerezan ilikua analala mara moja moja sana mpaka siku anamaliza kifungo, ila ndio alikua full time ndani
Huoni hicho nacho ni kifungo "cha ndani"
 
M
HAPAAA NIKO BAR WANAPIGAAAAAA

NYIMBOOO YA MAMBOOO MAKUBWAAA
ZAIDI YA NIOMBAVYOOOOOOOO

UNAWEZAAA KUFANYAAAA UNAWEZAA KUTENDAAA YALEE MAMBOOO ZAIDI YA NIOMBAVYOOOOO.......

ISIJEPOA NYAGIYANGU
Mkuu upo beer ya ngapi?
😂
 
Ni kwel, mimi mzee wangu enz akiwa na influence mkoa mmoja hapo nyanda za juu kusini magharibu, baba mdogo alikuhukumiwa jela ila akawa analala home, gerezan ilikua analala mara moja moja sana mpaka siku anamaliza kifungo, ila ndio alikua full time ndani
Duh!..
 
Serikali hii wanawake wana nguvu na wapo kwenye teuzi mbali mbali...

Hao jamaa haikuwa vyepesi kuchomoka..

Safi lakini kwa adhabu hio, was3nge wakubwa, acha wakaoze huko..
 
Ombi langu kwa serikali sikivu ya CCM iongee na serikali ya USA hao jamaa wakatulizwe gereza moja na P Diddy
 
Back
Top Bottom