Hulka ya mwanamke kukopa kopa na kupenda pesa za dezo msimshangae bibi yule kuwa na hiyohiyo hulka

Hulka ya mwanamke kukopa kopa na kupenda pesa za dezo msimshangae bibi yule kuwa na hiyohiyo hulka

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
25,968
Reaction score
36,044
Asilimia kubwa ya wanawake wanaishi kwa kutegemea mikopo.Wapo wanaokopa na kufanya mambo ya maana na pia wapo wanaokopa lakini mwisho wa siku pesa haionekani ilipopotelea.

Sasa huyu kibibi naye anawakilisha kundi la jinsia yake , hana akili ya kupambanua afanye nini kusogeza gurudumu, cha ajabu zaidi na hayo mamikopo anayakopa anajinufaisha kwa manufaa binafsi.
 
Alafu wanakuwaga na kiburi, ukiwauliza wanajibu vijipesa vyenyewe vidogo.Ndiyo yule wanachomwa na gunia zima la mkaa.
 
imagine USA potus angekuwa Kamara Harris taifa lao leo hii lingekuaje!? Wamarekani waliona mbali sana.
 
Back
Top Bottom