Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Wanasayansi wanasema pamoja na kizazi hiki chetu cha karne ya 21 kuwa na maarifa tele, ni 10% tu ya ubongo ndiyo iliyofanya kazi kiufasaha, lakini zaidi ya 90% bado haijatumika kabisa.nakubaliana na wewe bongo zetu zinauwezo sana, na sehemu iliyobaki ambayo hajaijua bado kuhusu ubongo ni kubwa kuliko tuliopata kuijua, but kuna some scope wanascience wamejaribu kuzipambanisha na super computers.
Hapa sitakubaliana nawe.Mzee baba your brain haiwezi fanya chochote kama hujaipa commands. It does limited work according to your intentions. Period. Ukitaka upumue tu, utapumua...afu baas.
Ukiwasha kompyuta, huwa umeipa command ya kupitisha umeme ndo iwake? Au command ya kufanya screen ionyeshe? Si huwa inafanya kazi zingine yenyewe ili ufocus kwenye programming yako? Kwani huwa unaicommand motherboard iprocess kazi yake? Si motherboard huwa tayari utengenezaji wake ni ile iweze kuprocess yenyewe. Haihitaji commands.Hapa sitakubaliana nawe.
Mifumo kama digestion, excretory system na mingine mingi unaipa command vipi? Unaweza kuamua muda gani nisiote nywele au kucha zangu zifike urefu upi? Kuna mambo mengi yanafanya na ubongo yapo "beyond your control".
Hivyo kusema ubongo kufanya chochote ni mpaka upewe commands sio sahihi.
Sidhani hata kama umeelewa ulichojibu.Ukiwasha kompyuta, huwa umeipa command ya kupitisha umeme ndo iwake? Au command ya kufanya screen ionyeshe? Si huwa inafanya kazi zingine yenyewe ili ufocus kwenye programming yako? Kwani huwa unaicommand motherboard iprocess kazi yake? Si motherboard huwa tayari utengenezaji wake ni ile iweze kuprocess yenyewe. Haihitaji commands.
Nilichomaanisha, hizo process ulizosema sio brain inaziprocess....ni zenyewe tayari ziko kwenye mfumo. Mfano...hata usipokula...tumbo bado litapata ile acid ya kusaga chakula...ikizidi mda mrefu ndio huleta vidonda vya tumbo. Ingekuwa ni brain inaprocess, basi hakungekuwa na vidonda vya tumbo.Sidhani hata kama umeelewa ulichojibu.
Mimi nimekusahihisha kauli yako ya awali uliposema "brain inahitaji commands ili ifanye kazi yake".
Anamaanisha niniUkiwasha kompyuta, huwa umeipa command ya kupitisha umeme ndo iwake? Au command ya kufanya screen ionyeshe? Si huwa inafanya kazi zingine yenyewe ili ufocus kwenye programming yako? Kwani huwa unaicommand motherboard iprocess kazi yake? Si motherboard huwa tayari utengenezaji wake ni ile iweze kuprocess yenyewe. Haihitaji commands.
Inahitajika tu urudi darasani usome biology.Nilichomaanisha, hizo process ulizosema sio brain inaziprocess....ni zenyewe tayari ziko kwenye mfumo. Mfano...hata usipokula...tumbo bado litapata ile acid ya kusaga chakula...ikizidi mda mrefu ndio huleta vidonda vya tumbo. Ingekuwa ni brain inaprocess, basi hakungekuwa na vidonda vya tumbo.
Alimaanisha brain sometimes inakuwa commanded pia Kwa mfano MTU ukitendwa na Dem hutamuona wakawaida Tena ila utabaki kumuwaza tu. It's a command.Sidhani hata kama umeelewa ulichojibu.
Mimi nimekusahihisha kauli yako ya awali uliposema "brain inahitaji commands ili ifanye kazi yake".
Soma hapo juu kuna jamaa kaeleza vizuri kuhusu DNA....na kwa ufahamu wangu mdogo, DNA ni part of biology. The brain itself, ni subject to DNA...kumaaanisha, brain hai-initialize the firing of neurons...tayari iyo process inajiendesha yenyewe.Inahitajika tu urudi darasani usome biology.
Kwenye DNA- tuiite Kwa kiswahili vinasaba(vizazi Saba vilivyopita) no gerantee kwenye brain kuwa controlled, sometimes seventh generation has not yet arrived so huja control Chochote.Soma hapo juu kuna jamaa kaeleza vizuri kuhusu DNA....na kwa ufahamu wangu mdogo, DNA ni part of biology. The brain itself, ni subject to DNA...kumaaanisha, brain hai-initialize the firing of neurons...tayari iyo process inajiendesha yenyewe.
Nami nilimaanisha kuna "voluntary" na "involuntary" actions.Alimaanisha brain sometimes inakuwa commanded pia Kwa mfano MTU ukitendwa na Dem hutamuona wawaida ila utabaki kumuwaza tu. It's a command.
Mbwa kama unampa chakula Kwa kengele na Kwa saa malum, siku Muda uule ule ukiginga kengele, atakuja akitegemea chakula, na badala yake ukamlamba fimbo. Una command akili yake. Atachange
Tuanzie kwenye Polygraph machine pale ziliposhindwa kudetect deception hapa tuliona Ubongo ukiipiga chenga Computer na ndio sababu I.O na Computer kushirikiana kumdadisi mtu kupitia Microgestures/milliseconds kudetect slight changes mwilini.For now yeah brain ni superior lakini I doubt kama it will be the same, hata sasa kuna maeneo computer is better human brain... like trillions calculations per seconds human brain can't match that, of course human tumeipa hiyo computer huo uwezo lakini hapo ni kama teacher outperformed by his students
Nani kayaweka hayo maelekezo kwenye cell za ubongo swali ndo liko apa nani kayaweka hayo maelekezo ķwenye izo cell za ubongohapa kaka kuna concept ya DNA za brain, tayari toka unazaliwa zina instruction,( tayari programmed) ili ubongo kufanya kazi zake, thus y hamna mtu anakufundisha kufanya unconcious activities, kwasababu, maelekezo yote yapo kwenye seli za ubongo wako,( ni sawa na program istruction zirlivyo) sasa huyu much know alete nae hoja zake .
Yani ni sawa na software ya windows kuuliza software ingine nani kazitengeneza....swali lako liko out of our reality mkuu. Sana sana itakuwa ni unafanya speculation.Nani kayaweka hayo maelekezo kwenye cell za ubongo swali ndo liko apa nani kayaweka hayo maelekezo ķwenye izo cell za ubongo
So how do we connect Haman Brain na Kompyuta. RAM na GB tunalinganishaje na Ubongo.Nami nilimaanisha kuna "voluntary" na "involuntary" actions.
Kuna vitu unatoa maelekezo wewe katika ubongo ila kuna vingine ubongo wenyewe ndo unafanya bila wewe kutambua.
Japo ubongo ndo chanzo kikuu cha neurons ila wenyewe hauna pain receptors.Kama ungekuwa nazo yamkini tungehisi maumivu kwa mambo inayoyafanya.Ni mengi!
Kama ukisoma kitabu cha mwananyurolojia Ben Carson kinaitwa "You have a brain" utapata majibu mazuri sana kuhusu ubongo wako.
Tulia wewe computer ni smartNioneshe computer gani inayomiliki demu mkali😂, comp inafanya biashara na kulipa kodi na bills? Kama itakuwepo na ifanye kazi autonomously bila kupokea input ya binadamu basi ntakubali pc ni zaidi ya ubongo
Samahani ila unaweza kuliuliza swali lako kiutofauti kidogo maana sijaelewa.So how do we connect Haman Brain na Kompyuta. RAM na GB tunalinganishaje na Ubongo.
Ni challenge tu lakini. I don't mean to disrespect the person brought the thread