Human brain vs computer

Human brain vs computer

nakubaliana na wewe bongo zetu zinauwezo sana, na sehemu iliyobaki ambayo hajaijua bado kuhusu ubongo ni kubwa kuliko tuliopata kuijua, but kuna some scope wanascience wamejaribu kuzipambanisha na super computers.
Wanasayansi wanasema pamoja na kizazi hiki chetu cha karne ya 21 kuwa na maarifa tele, ni 10% tu ya ubongo ndiyo iliyofanya kazi kiufasaha, lakini zaidi ya 90% bado haijatumika kabisa.
 
Mzee baba your brain haiwezi fanya chochote kama hujaipa commands. It does limited work according to your intentions. Period. Ukitaka upumue tu, utapumua...afu baas.
Hapa sitakubaliana nawe.
Mifumo kama digestion, excretory system na mingine mingi unaipa command vipi? Unaweza kuamua muda gani nisiote nywele au kucha zangu zifike urefu upi? Kuna mambo mengi yanafanywa na ubongo yapo "beyond your control".
Hivyo kusema ubongo kufanya chochote ni mpaka upewe commands sio sahihi.
 
Hapa sitakubaliana nawe.
Mifumo kama digestion, excretory system na mingine mingi unaipa command vipi? Unaweza kuamua muda gani nisiote nywele au kucha zangu zifike urefu upi? Kuna mambo mengi yanafanya na ubongo yapo "beyond your control".
Hivyo kusema ubongo kufanya chochote ni mpaka upewe commands sio sahihi.
Ukiwasha kompyuta, huwa umeipa command ya kupitisha umeme ndo iwake? Au command ya kufanya screen ionyeshe? Si huwa inafanya kazi zingine yenyewe ili ufocus kwenye programming yako? Kwani huwa unaicommand motherboard iprocess kazi yake? Si motherboard huwa tayari utengenezaji wake ni ile iweze kuprocess yenyewe. Haihitaji commands.
 
Human brain is monster, you can't sex with your own blood child. At least a computer demanded to control this won't violet the command. Mind you this is not acceptable, one day when I have alcohol in my head was about to rap our maid in the presence of my wife. Human brain is monster..

Najutia Sana Ile kitu and even today I don't trymu brain
 
Ukiwasha kompyuta, huwa umeipa command ya kupitisha umeme ndo iwake? Au command ya kufanya screen ionyeshe? Si huwa inafanya kazi zingine yenyewe ili ufocus kwenye programming yako? Kwani huwa unaicommand motherboard iprocess kazi yake? Si motherboard huwa tayari utengenezaji wake ni ile iweze kuprocess yenyewe. Haihitaji commands.
Sidhani hata kama umeelewa ulichojibu.
Mimi nimekusahihisha kauli yako ya awali uliposema "brain inahitaji commands ili ifanye kazi yake".
 
Nilichomaanisha, hizo process ulizosema sio brain inaziprocess....ni zenyewe tayari ziko kwenye mfumo. Mfano...hata usipokula...tumbo bado litapata ile acid ya kusaga chakula...ikizidi mda mrefu ndio huleta vidonda vya tumbo. Ingekuwa ni brain inaprocess, basi hakungekuwa na vidonda vya tumbo.
 
Unama

Anamaanisha nini
 
Inahitajika tu urudi darasani usome biology.
 
Sidhani hata kama umeelewa ulichojibu.
Mimi nimekusahihisha kauli yako ya awali uliposema "brain inahitaji commands ili ifanye kazi yake".
Alimaanisha brain sometimes inakuwa commanded pia Kwa mfano MTU ukitendwa na Dem hutamuona wakawaida Tena ila utabaki kumuwaza tu. It's a command.

Mbwa kama unampa chakula Kwa kengele na Kwa saa malum, siku Muda uule ule ukiginga kengele, atakuja akitegemea chakula, na badala yake ukamlamba fimbo. Una command akili yake. Atachange
 
Inahitajika tu urudi darasani usome biology.
Soma hapo juu kuna jamaa kaeleza vizuri kuhusu DNA....na kwa ufahamu wangu mdogo, DNA ni part of biology. The brain itself, ni subject to DNA...kumaaanisha, brain hai-initialize the firing of neurons...tayari iyo process inajiendesha yenyewe.
 
Kwenye DNA- tuiite Kwa kiswahili vinasaba(vizazi Saba vilivyopita) no gerantee kwenye brain kuwa controlled, sometimes seventh generation has not yet arrived so huja control Chochote.

Seventh generation vinasaba
 
Hiyo computer imetengenezwa na nani? Ukipata jibu hilo utakuwa kwenye nafasi nzuri ya kupata majibu mkuu
 
Alimaanisha brain sometimes inakuwa commanded pia Kwa mfano MTU ukitendwa na Dem hutamuona wawaida ila utabaki kumuwaza tu. It's a command.

Mbwa kama unampa chakula Kwa kengele na Kwa saa malum, siku Muda uule ule ukiginga kengele, atakuja akitegemea chakula, na badala yake ukamlamba fimbo. Una command akili yake. Atachange
Nami nilimaanisha kuna "voluntary" na "involuntary" actions.
Kuna vitu unatoa maelekezo wewe katika ubongo ila kuna vingine ubongo wenyewe ndo unafanya bila wewe kutambua.
Japo ubongo ndo chanzo kikuu cha neurons ila wenyewe hauna pain receptors.Kama ungekuwa nazo yamkini tungehisi maumivu kwa mambo inayoyafanya.Ni mengi!
Kama ukisoma kitabu cha mwananyurolojia Ben Carson kinaitwa "You have a brain" utapata majibu mazuri sana kuhusu ubongo wako.
 
For now yeah brain ni superior lakini I doubt kama it will be the same, hata sasa kuna maeneo computer is better human brain... like trillions calculations per seconds human brain can't match that, of course human tumeipa hiyo computer huo uwezo lakini hapo ni kama teacher outperformed by his students
Tuanzie kwenye Polygraph machine pale ziliposhindwa kudetect deception hapa tuliona Ubongo ukiipiga chenga Computer na ndio sababu I.O na Computer kushirikiana kumdadisi mtu kupitia Microgestures/milliseconds kudetect slight changes mwilini.
 
hapa kaka kuna concept ya DNA za brain, tayari toka unazaliwa zina instruction,( tayari programmed) ili ubongo kufanya kazi zake, thus y hamna mtu anakufundisha kufanya unconcious activities, kwasababu, maelekezo yote yapo kwenye seli za ubongo wako,( ni sawa na program istruction zirlivyo) sasa huyu much know alete nae hoja zake .
Nani kayaweka hayo maelekezo kwenye cell za ubongo swali ndo liko apa nani kayaweka hayo maelekezo ķwenye izo cell za ubongo
 
Yani ni sawa na software ya windows kuuliza software ingine nani kazitengeneza....swali lako liko out of our reality mkuu. Sana sana itakuwa ni unafanya speculation.
 
Nami nilimaanisha kuna "voluntary" na "involuntary" actions.
Kuna vitu unatoa maelekezo wewe katika ubongo ila kuna vingine ubongo wenyewe ndo unafanya bila wewe kutambua.
Japo ubongo ndo chanzo kikuu cha neurons ila wenyewe hauna pain receptors.Kama ungekuwa nazo yamkini tungehisi maumivu kwa mambo inayoyafanya.Ni mengi!
Kama ukisoma kitabu cha mwananyurolojia Ben Carson kinaitwa "You have a brain" utapata majibu mazuri sana kuhusu ubongo wako.
So how do we connect Haman Brain na Kompyuta. RAM na GB tunalinganishaje na Ubongo.

Ni challenge tu lakini. I don't mean to disrespect the person brought the thread
 
Nioneshe computer gani inayomiliki demu mkali😂, comp inafanya biashara na kulipa kodi na bills? Kama itakuwepo na ifanye kazi autonomously bila kupokea input ya binadamu basi ntakubali pc ni zaidi ya ubongo
Tulia wewe computer ni smart

😂 😂 😂 😂 😂
 
So how do we connect Haman Brain na Kompyuta. RAM na GB tunalinganishaje na Ubongo.

Ni challenge tu lakini. I don't mean to disrespect the person brought the thread
Samahani ila unaweza kuliuliza swali lako kiutofauti kidogo maana sijaelewa.
 
Back
Top Bottom